Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

Baba alinikuta nikipiga nyeto nikuwa Na miezi sita tangu nimezaliwa, akaniambia daima ntakuwa napiga nyeto tuu na sitopata mwanamke, hatimaye kweli mpaka sasa nna miaka 35 na sijawahi kusex na mwanamke yeyote bali ni punyeto tuu
Nawaza baba dronedrake ali mwambia nini mwenyekiti wetu wa nyeto😁😂
 
Kwamba kuwa mwenye elimu katikati ya wajinga ni kosa
Hiyo n code.... wanadam huwa na tabia ya kupiga vita chochote ambacho hakifanani nao!!
Uelevu mbele ya wajinga matokeo yake huwa n kuonekana mjuaji, kuundiwa njama na vijembe vya chini chini, kupigwa vita kila pande.... mwisho maisha yako yanakuwa hatarini🤔
Kwahyo ukiwa smart sana lazima ujue namna ya kubalance mzani
 
Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"

Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"

Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?

Karibuni kwa michango 🤝
Nipo form two hapo, nikamwambia mzee nimeokoka nikiwa shuleni kipindi cha dini. Akasema ungeachana kwanza na hayo usome kwanza...
Sikumuelewa sana kwa wakati huo ila kwa sasa naona kabisa alikua sahihi 100%
 
Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"

Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"

Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?

Karibuni kwa michango 🤝
Mzee kazaliwa mwenyewe. Hivyo hii ilimfanya atuone watoto wake kama wadogo wake. Kuna kipindi alikuwa amanitambulisha kwa watu kama mdogo wake.
 
Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"

Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"

Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?

Karibuni kwa michango 🤝
Baba yangu alituambia watoto wake:
1. Kuyakubali na kuyakiri makosa tunayokuwa tumefanya, kuomba msamaha (inapobidi) na kutoyarudia.
2. Kutomnyima chakula mwenye njaa.
3. Kutoa msaada kwa mhitaji yeyote.
Mpaka leo natimiza na. 1 na 2 bila shida yoyote.

Namba tatu imekuwa na changamoto. Kuna watu unawasaidia kumbe ni matapeli tu na wanakuona fala tu.
 
Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"

Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"

Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?

Karibuni kwa michango 🤝
Mwanaume halali hadi jua limkute kitandani hata kama hana kazi ya kufanya 😅😅😅
 
Back
Top Bottom