PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,555
- 3,823
Yes na tunafanana, so watu walikuwa hata hawabishi. Nilikuwa najisikia furaha sana.Alikuzaa mapema sana
Yes na tunafanana, so watu walikuwa hata hawabishi. Nilikuwa najisikia furaha sana.Alikuzaa mapema sana
Basi amka upate hata vitamin C kutoka kwa jua changa la asubuhi mkuu😂😂Kufanya mazoezi chakula chenyewe kidogo
M"Urithi wangu kwako ni elimu niliyo kuwezesha kuipata na si kingine"
Hayo ndiyo maneno ya Mzee ambayo mpaka leo yanaishi kichwani mwangu...
Mwanangu urithi wangu kwako ni elimu. Soma mpaka ufe! R.I.P my lovely Dad.Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"
Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"
Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?
Karibuni kwa michango 🤝
Family comes first regardlessIle whole family scenario+ sopranos, ndio mimi na family yetu.
YapFamily comes first regardless
Tako lako weweBaba alinikuta nikipiga nyeto nikiwa Na miezi sita tangu nimezaliwa, akaniambia daima ntakuwa napiga nyeto tuu na sitopata mwanamke, hatimaye kweli mpaka sasa nna miaka 35 na sijawahi kusex na mwanamke yeyote bali ni punyeto tuu
UnakazwaTako lako wewe
Mkuu, unamaanisha Nini, kuliko huge power inayo kucost?somehow, sometimes I just wanna leave and be alone.
Being alone with few power is good, kuliko huge. Power inayo kucost
Pole sanaHuyu, atoweza saidia familia, si unajua lifestyle ya ki-introvert, though tunasaidia familia, ila ndiyo hiyo statement ipo kichwani hadi leo...
You know keeping everyone and everything in check is a terrible job, ohh it's too much wahala.Mkuu, unamaanisha Nini, kuliko huge power inayo kucost?
What is so funny?😂😂😂😂
Mzee ni hadhi anayopewa mtu yeyote mwenye umri mkubwa bila kujali uhusiano baina yenu lkn kwa baadhi ya jamii za Afrika Mashariki zinatafasiri neno Mzee na hutumiwa na wanawake kwa maana ya kuwatambulisha waume zao kwa badala ya kusema huyu ni mme wangu basi wao husema huyu ni MZEE WANGU.Baba yangu ananizidi miaka 44 unataka nimuite nani kama sio mzee
mzee wangu aliniambia usingizi ni mali ila haujawahi mfanya mtu atoke sehemu moja kwenda nyingine kwenye maisha yake......... nimekua nikijifunza watu wengi wasiopiga hatua ukichunguza vizuri usingizi na kulala lala ndio chanzo kikuu cha wao kuwa chini.......Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?