choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,093
Wanaume tunatembea mapema mno, hizo RIP dady zimejaa sana humu
"Wanawake wanapenda ela wewe tafuta ela"Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"
Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"
Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?
Karibuni kwa michango 🤝
Nakumbuka sana hekima zake. Alipenda kusema tuwe na subira na ikiwezekana kuwa wa mwisho kuongea , pia sio lazima useme mambo yote unayoyafahamu. Alitanngulia October, 1989.Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"
Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"
Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?
Karibuni kwa michango 🤝
1989 ndoNakumbuka sana hekima zake. Alipenda kusema tuwe na subira na ikiwezekana kuwa wa mwisho kuongea , pia sio lazima useme mambo yote unayoyafahamu. Alitanngulia October, 1989.
Inawezekana si unaona madada wa mjini wanavyojiuza?Mzee mmoja askari jwtz mstaafu alinambia.
Nanukuu "" MASIKIO YA MWANAMKE YAPO KWENYE KISIMI CHAKE""
Sijui mpaka Leo Ali maanisha Nini 😊
Mimi nakumbuka nikawa bado mdogo kabisa....Baba yangu alitamka..''katika maisha haya inabidi mkazane sana''....na kweli mpaka leo mashallah nakazana.Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"
Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"
Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?
Karibuni kwa michango 🤝
Baba ni mzazi wa kiume.Sasa wewe kaza kichwa Sasa na Uzamani wako "nyankundo" kabisa
Kula hili🖕doleBaba ni mzazi wa kiume.
Mama ni mzazi wa kike.
Ktk lugha ya Kiswahili hakuna mbadala wa hayo.
Vingenevyo maana ya Mzee wako ni MME WAKO.
Alitamka maneno mawili ambayo nayaisha.Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"
Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"
Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?
Karibuni kwa michango 🤝
ndege ana kazi au kaajiriwa wap mbona anawah kuamka...... hili swali nimezoea kuulizwa na masingo maza asubuh nikiwa nasepa baada ya kumtroomber usiku mzima na kumuacha na katoto chakeUnaamka unaenda wapi huna kazi