Mkuu, mita 15 izo ujueHivi hapo haiwez kupiga brake Kuweka hand brake na kukata kulia 270 degree vyote kwa pamoja na kwa haraka
Wanaita drift sio.
Au niachane na mawazo ya game ya Need for speed na movies za Fast and Furious. 😂😂😂😂
Alisema kummmke kama ni umatumbiniHoly shit
Unakuta gari FWDDrift pekee ndio itakayo kuokoa hapo,,
Hapo bro ni Bora matako ya gar ndio yagonge ila sio mbele. 😂😂😂😂Mkuu, mita 15 izo ujue
Ila 180 speed kali sana. Hapo kama gari la kisasa airbags za kutosha anaweza survive. Dah ajali naijua balaa lake yaani unafumba unafumbua chuma hii hapa.Hapo bro ni Bora matako ya gar ndio yagonge ila sio mbele. 😂😂😂😂
Muhim hapo gar igeuke ilipotoka kwa namna yoyote ile.
Niliwah pata ajali Ubungo riverside. 2015. Dah yaan sekunde 1 . Wenge nishapata. Gar nililogonga naona linapiga sambasoti. Mm hapo Sielewe kitu. Akili imeruka. Nachokumbuka ni mtu ananiambia dogo kaa chini alaf ananimwagia maji kichwan , ndio nikapata akili 😂😂😂😂
Ajali sizikie tu. Kuna namna dereva hawez kulaumiwa.
Ni Matter of mill seconds zinasabisha maafa.
Movie zitakuponza siku..Hivi hapo haiwez kupiga brake Kuweka hand brake na kukata kulia 270 degree vyote kwa pamoja na kwa haraka
Wanaita drift sio.
Au niachane na mawazo ya game ya Need for speed na movies za Fast and Furious. 😂😂😂😂
hapo lazima uchague moja.Movie zitakuponza siku..
Hapo sana sana ana 0.5 seconds tu ya kujiokoa.Ila 180 speed kali sana. Hapo kama gari la kisasa airbags za kutosha anaweza survive. Dah ajali naijua balaa lake yaani unafumba unafumbua chuma hii hapa.
Watasema ni AI
Sawa mie na wewe tukae upandehuu uzi ni kwa wanao jua ku drive hebu nikae pembezoni kwanza nipate Cba