Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #41
Dah😂😂🤣kwa kweli mahi,, hebu twende kwa Binti wa zamani leo kaja na pishi la bata mzinga👌 kasema linaboost naniliu😋😅😂
Dah😂😂🤣kwa kweli mahi,, hebu twende kwa Binti wa zamani leo kaja na pishi la bata mzinga👌 kasema linaboost naniliu😋😅😂
Ndio wewe na local bia bwashee?
Hiyo ndio shit yenyewe😆😂😂😂😂
Kama vile !Watasema ni AI
Ila 180 speed kali sana. Hapo kama gari la kisasa airbags za kutosha anaweza survive. Dah ajali naijua balaa lake yaani unafumba unafumbua chuma hii hapa.
Hivi hapo haiwez kupiga brake Kuweka hand brake na kukata kulia 270 degree vyote kwa pamoja na kwa haraka
Wanaita drift sio.
Au niachane na mawazo ya game ya Need for speed na movies za Fast and Furious. 😂😂😂😂
Usiku mwema ukilala lala salama Dad🤍