Ni neno gani la mwisho alilosema dereva huyu?

Holy shit
20260310_170932.jpg
 
hapo lazima uchague moja.
Kwenda kulia kule ndio utapaa kabisa na haujui kama kuna barrier au lah.

Bora gar igongwe kwenye Makebo.
Damage inaweza isifike siti za mbele . Au hata ikifika unaweza dereva asiguse dashboard. Ukaumia miguu na kiuno.
Kama umefunga mkanda lakin.
Kinyume na hapo. Ni gudubai.😂😂😂😂😂
😀😀 kwahiyo mmeamua kuhalalisha mananii yaitwe makebo!!?

Ajali ni mbaya. Zinapanikisha.. bora itokee ufe kuliko ubaki nyang’anyang’a. Sijui kiuno kikatike, miguu ikatike. Dah hapana, naogopa aisee. Kheri isikuumize sana. We unaonaje?
 
Kufa mapema na yenyewe sio sawa.
kwangu mm bora ajali inifanye nyanganyanga na uKilema.

Maana kuna namna nitazoea hali yangu na kuikubali na kuishi nayo.

Ila Roho ni jambo kubwa sana.
Nina rafik angu alipata ajali coco, 2013 hiv. Ni mdada . Akapata severe Spinal cord injury. Hawez kusimama na kaparalize kiunon kushuka chini.
Na hadi leo anatembelea wheel chair.
Ila huwez amini , ameolewa na anafurahia maisha pamoja na disability aliyokuwa nayo.
 
Sio sawa vipi tena ushajifia zako unapumzika akhera kusubiri mabikira 70.

Mungu ni mwema.. me nawazaga kuteseka hivyo kheri ningepitilizia moja kwa moja.
 
Hizo bikra 😂😂😂 balaa sana.. ila mwisho wa siku Dunia hii lazima tutapumzika mwisho wa siku.

Ila kwangu hata nikikatika mkono. Maisha nitayazoea na kwenye maisha kuna raha zake bana .

Alaf Heaven is not promised kwa kweli. 😂😂😂😂.

Duniani ndio Heaven pekee tuliyonayo. Make the most of it.
 
Hivi hapo haiwez kupiga brake Kuweka hand brake na kukata kulia 270 degree vyote kwa pamoja na kwa haraka

Wanaita drift sio.
Au niachane na mawazo ya game ya Need for speed na movies za Fast and Furious. 😂😂😂😂
itapinduka na kugaragara mara nyingi sana, ila itakua ndo njia ya pekee kuliko kwenda kulivaa moja kwa moja
 
Kufa mapema na yenyewe sio sawa.
kwangu mm bora ajali inifanye nyanganyanga na uKilema.

Maana kuna namna nitazoea hali yangu na kuikubali na kuishi nayo.

Ila Roho ni jambo kubwa sana.
Nina rafik angu alipata ajali coco, 2013 hiv. Ni mdada . Akapata severe Spinal cord injury. Hawez kusimama na kaparalize kiunon kushuka chini.
Na hadi leo anatembelea wheel chair.
Ila huwez amini , ameolewa na anafurahia maisha pamoja na disability aliyokuwa nayo.
Duh how? So 👌🏽👈🏾 Inakuwaje😬
 
Hivi hapo haiwez kupiga brake Kuweka hand brake na kukata kulia 270 degree vyote kwa pamoja na kwa haraka

Wanaita drift sio.
Au niachane na mawazo ya game ya Need for speed na movies za Fast and Furious. 😂😂😂😂
Hata kwa juju ni ngumu
 
Back
Top Bottom