Dah๐๐๐คฃkwa kweli mahi,, hebu twende kwa Binti wa zamani leo kaja na pishi la bata mzinga๐ kasema linaboost naniliu๐๐ ๐
Ndio wewe na local bia bwashee?๐๐๐View attachment 3583842
Hiyo ndio shit yenyewe๐๐๐๐๐
Kama vile !Watasema ni AI
Ila 180 speed kali sana. Hapo kama gari la kisasa airbags za kutosha anaweza survive. Dah ajali naijua balaa lake yaani unafumba unafumbua chuma hii hapa.
Baada ya hapo๐
Hivi hapo haiwez kupiga brake Kuweka hand brake na kukata kulia 270 degree vyote kwa pamoja na kwa haraka
Wanaita drift sio.
Au niachane na mawazo ya game ya Need for speed na movies za Fast and Furious. ๐๐๐๐
Usiku mwema ukilala lala salama Dad๐คView attachment 3583875๐๐๐