Putin is channeling Hitler very dangerous man .Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa
Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona
Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii.
Vyombo vinavyosukia pia vifanye jitahada haraka iwezekenavyo kuzuia vita hii kuendelea .!
... mshenzi sana; by hooks and crooks hii vita aliyoianzisha inaenda kuhitimisha utawala wake wa kiimla! Nyakati hizi bado ana mentality za enzi za Alexander the Great! Mentality za Genghis Khan! Amejipa utawala wa maisha?Putin is channeling Hitler very dangerous man .
Nguvu za kiume ni Bora kuliko jicho, zilindwe kwa gharama yoyote ile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu tuombe tu Nato isijibu world War 3 itaanza. Na nuclear zikidodondoshwa tumekwisha yani ile mionzi inafyonza kichiznguvu za kiume wee fikiria unaishi bila kugegeda it'll be a wasted fakin' life just better die than living.
Fakin scared!
Mkuu ni kweli kabisa. Bora kuwa fukara wa kutupwa unajisaidia maporini na vichakani huko na IQ yako inamushkel ila sirgod kakutunukia tunu .Nguvu za kiume ni Bora kuliko jicho, zilindwe kwa gharama yoyote ile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja wapigane tu, wamewahi kupigana vita na bita manabii na mitume iwe sasa na bado dunia iliendelea kubaki salama.kila nafsi itaonja mauti bila kujali ni ya vita au ugonjwa, aana dunia hii ni ya mema na maovu tu.Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa...
JF kuna watu zimewaruka sio bure, we are talking about human life wewe unazungumzia nguvu za kiume🤣🤣Mkuu tuombe tu Nato isijibu world War 3 itaanza. Na nuclear zikidodondoshwa tumekwisha yani ile mionzi inafyonza kichiz nguvu za kiume wee fikiria unaishi bila kugegeda it'll be a wasted fakin' life just better die than living.
Fakin scared!
Mkuu tunaongelea maisha ya watu hapa, ambao hawana hatiaNgoja wapigane tu,wamewahi kupigana vita na bita manabii na mitume iwe sasa na bado dunia iliendelea kubaki salama.kila nafsi itaonja mauti bila kujali ni ya vita au ugonjwa,maana dunia hii ni ya mema na maovu tu.
Wameanzisha urafiki na Eukraine wa kimchongo, kaka yake russia akakasirika, wakamchochea mdogo mtu, kaka asira zikajaa akakosa busara akaamua kaamua kupiga mdogo mtu.usa na nato ndio wakulaumiwa