Ni ngumu kuamini haya yanatokea, why kill innocent people? Mungu awe pamoja na wote wanaoadhirika na vita hii

Ni ngumu kuamini haya yanatokea, why kill innocent people? Mungu awe pamoja na wote wanaoadhirika na vita hii

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
862
Reaction score
1,430
Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa
Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona.

Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii.

Vyombo vinavyosukia pia vifanye jitahada haraka iwezekenavyo kuzuia vita hii kuendelea!
 
Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa
Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona

Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii.
Vyombo vinavyosukia pia vifanye jitahada haraka iwezekenavyo kuzuia vita hii kuendelea .!
Putin is channeling Hitler very dangerous man .
 
Mkuu tuombe tu Nato isijibu world War 3 itaanza. Na nuclear zikidodondoshwa tumekwisha yani ile mionzi inafyonza kichiznguvu za kiume wee fikiria unaishi bila kugegeda it'll be a wasted fakin' life just better die than living.

Fakin scared!
Nguvu za kiume ni Bora kuliko jicho, zilindwe kwa gharama yoyote ile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa...
Ngoja wapigane tu, wamewahi kupigana vita na bita manabii na mitume iwe sasa na bado dunia iliendelea kubaki salama.kila nafsi itaonja mauti bila kujali ni ya vita au ugonjwa, aana dunia hii ni ya mema na maovu tu.
 
Mkuu tuombe tu Nato isijibu world War 3 itaanza. Na nuclear zikidodondoshwa tumekwisha yani ile mionzi inafyonza kichiz nguvu za kiume wee fikiria unaishi bila kugegeda it'll be a wasted fakin' life just better die than living.

Fakin scared!
JF kuna watu zimewaruka sio bure, we are talking about human life wewe unazungumzia nguvu za kiume🤣🤣
 
Ngoja wapigane tu,wamewahi kupigana vita na bita manabii na mitume iwe sasa na bado dunia iliendelea kubaki salama.kila nafsi itaonja mauti bila kujali ni ya vita au ugonjwa,maana dunia hii ni ya mema na maovu tu.
Mkuu tunaongelea maisha ya watu hapa, ambao hawana hatia
 
Mungu hapa ndipo anaposhangaza na wanaomuamini ndipo wasivyoeleweka. EEEEEH MUNGU WASAIDIE.
 
usa na nato ndio wakulaumiwa
Wameanzisha urafiki na Eukraine wa kimchongo, kaka yake russia akakasirika, wakamchochea mdogo mtu, kaka asira zikajaa akakosa busara akaamua kaamua kupiga mdogo mtu.

Sasa wamerekani wapo kwenye tv zao wanaangalia na popcorn, raia wa ukraine wanaumia na vipigo, raia wa russia wataumia na vikwazo.
 
Tunajisahaulisha Sana.

Ulimwengu /dunia na tawala zimejengwa katika misingi ipi.

Kuvamia ...kupora.. kumiliki.... Ulaghai ... Na mengine mengi related.

Israel akianex sawa ,Usa Great britain sawa ila siyo KWA Russia na nchi zingine.


God is up there relaxing and he doesn't give a damn about us ... Me and yo
 
Vita mbaya sana
Nimeshuhudia mara mbili na ninajua athari zake
Nawahurumia hao wanaokimbia na hawajui wanakoenda mradi waendoke tu mahali walipo
Kwenye vita unakuta mtu anakimbia mashariki wakati mwenzake anaelekea huko akitoka magharibi

Tujiandae kwa maisha kupanda sana maana sio Urusi tu ni dunia nzima
Hapo UK fuel tayari yamepanda maana yake kesho tunaamka Na bei mpya za bidhaa

Haya ma sanction wanaumia wote sio Mrusi peke yake

Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom