Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

Matajiri wanahama kutoka kwenye Land cruiser VX kubana matumizi ya mafuta. IST ambayo ni low mileage, kwa watu hao wala hawazi hiyo 20M ila kwa wanaojitafuta hiyo bei bado ni juu sana. The same for Ractis, Spacio, premio etc
Kwanini mtu asinunue aqua hybrid au honda fit hybrid maana kama mafuta inanusa zaidi ya ist
 
Kwanini mtu asinunue aqua hybrid au honda fit hybrid maana kama mafuta inanusa zaidi ya ist
Hizo zinaweza kuwa nzuri kuliko hata hiyo IST lakini soko la Tanzania linafuata trend zaidi na wengi wananunua gari kwasababu wamemuona rafiki, ndugu amenunua gari hilo basi na wao wananunua. Pia popularity ya gari inapelekea upatikanaji wa spare parts kuwa rahisi na kwa bei nafuu.
 
Matajiri wanahama kutoka kwenye Land cruiser VX kubana matumizi ya mafuta. IST ambayo ni low mileage, kwa watu hao wala hawazi hiyo 20M ila kwa wanaojitafuta hiyo bei bado ni juu sana. The same for Ractis, Spacio, premio etc
Na kinapakika vizuri sana hako maana kafupi na hata kina resale value nzuri sana, halafu demand ikiwa kubwa pia bei huwa inakuwa juu, kingine ni toyota hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…