MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Safi sana mkuu, NCP 61 si ile 1490 lakin ni inavuta miguu ya mbele peke yake?1)Ni Gari unaenda kituo cha mafuta Kwa kuona aibu ,siyo Kwa hofu ya kuzimika ETI imeisha mafuta,Na hiyo hiyo Ni NCP 61,
2) NCP 61 km 800 huitaji kituo cha kulala, hapo una overdrive , Gari KIBAO unaenda Nazo sambamba
3) inachanganya fasta unapo-overtake madam service zako ziwe standard,ie engine oil 5-30 viscosity, directly kutoka vituo vya mafuta kama Castrol,total NK,
4) spare cheap Sana,
5) kama hujaweka vyuma vya kuinua juu inaitika Sana Kwa gravitational unapokuwa Lami, una uwezo WA kufika 120 Na Bado you feel it, Kwa udogo wake Ni speed kubwa
Ubaya wale
1) zinafanana Sana ,unaweza fikiri mlango umegoma kufunguka kumbe unafungua ya MTU mwingine
2)rough road unaweza Isi shockup zimekufa
3) watu wengi wanaisema Vibaya Hadi wajinga ambao hata uwezo WA kumiliki pikipiki Hawana Na Hawaii kuwa nao
4) kama unaipenda rough road utapitwa hata Na tractor
NB: binafsi naipenda Sana hii Gari, NCP 61, forward , hii machine Sana , sopati picha NCP 65😂😂
Yeah,hiyoSafi sana mkuu, NCP 61 si ile 1490 lakin ni inavuta miguu ya mbele peke yake?
Karibu mkuuNitarudi.
Kazi ni kipimo cha utu
Umenichekesha ila wewe ni mtu unaetafakari mambo!Kwa miliki wa IST ni kitu gani kinakufanya uipende hiyo gari, tupeni siri jamani 😃
😃😃😃😃Umenichekesha ila wewe ni mtu unaetafakari mambo!
Nimekuelewa sana. Kwamba for 20m hakuna better car than IST? Really?!! That tiny car is over 20yrs old.😃😃😃😃
Hiko ndio ninacho nishangaza na mm na mara nyingi najiuliza hvyo yan 😃Nimekuelewa sana. Kwamba for 20m hakuna better car than IST? Really?!! That tiny car is over 20yrs old.
Tanzania wana option chache sana za magari mazuri ndio maana wanapata magari chakavu kwa bei kubwa nilishangaa mwezi uliopita kuona Wazimbabwe wanatumia bandari yetu kupitisha gari zao ambazo bado hatujaanza kuzijadili tunaona ni anasa zikipanda bei ndio utaona watu wanaziagiza kwa wingi..Hiko ndio ninacho nishangaza na mm na mara nyingi najiuliza hvyo yan 😃
Wanasema inakunywa supu.
😂😂😂Hutu tu IST navifananisha na yule mbwa wetu pendwa wa Afrika mwenye rangi moja, jina lingine anaitwa mutina au bosco, yani haviitaji matunzo makubwa na vinavumilia hali yoyote ile
Nenda Beforward na SBT Japan zimepanda Bei kuliko maelezo hazikamatikiKwa miliki wa IST ni kitu gani kinakufanya uipende hiyo gari, tupeni siri jamani 😃
Labda zamaniHairMilion 20 nanunua Vanguard au Harrier
Zimepanda bei kwa sababu watu wanaamini katika hizo gari ila vigari vidogo vipo vingi sana na havina changamoto ya ubovu wala mafuta sema Watanganyika wakishika kitu kuwatoa ni kazi sana..Nenda Beforward na SBT Japan zimepanda Bei kuliko maelezo hazikamatiki
Bado ni Gari nzuri za Kuanzia maisha ya usafiri
Nilimtumia mtu huko TZ , Jumla kulipia hela ya gari huku ilikuwa ni kama kmil 26M hapo TZ Akaitoa 24MHii nchi ya kifala sana mkuu. Gari kama Vanguard used milioni 37!!!!!
Watu hawana hela Serikali inapata hela nyingi kupitia kodi ndio maana magari yanauzwa bei kubwa hailingani na thamani yake gari ya 2004 wanauza Tsh 20m si utani huo aisee.Nilimtumia mtu huko TZ , Jumla kulipia hela ya gari huku ilikuwa ni kama kmil 26M hapo TZ Akaitoa 24M
Hiyo ni ya mwaka 2016
Wakati naondoka TZ vanguard zilikuwa 26 hadi 28
Enzi ya JPM hizi gari zilikuwa 27M
I think TZ WATU mnq hela sana
Gari aina ya IST Huku majuu nanunuq dola 2500….. imeisha hiyo
Huko TZ unatoa 20M mmh nimekuja kugundua TZ watu wanahela na wanaishi expensive life ya kimasikini