Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

Bongo shida ni utitiri wa kodi bwana mkubwa..Bei halisi ya gari inalingana au kukaribiana na kodi za Gavoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…