Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,049
- 4,301
- Thread starter
-
- #81
Umeliweka vizuri kabisa, Kuna watu naona koment zao zinaonyesha kabisa ni namna gani hawafahamu nini kilichopo nyuma ya hii migogori Israel anaianzisha.Kwa akili za walokole wa JF (wenye udini) furaha yao ni kwamba neighbours wa Israel ni waisalamu na waarabu tu.
Bila ya kuelewa Gaza ilikuwa na waarabu Christian’s na kulikuwa na makanisa ya kale japo madogo, lakini waumini ni waarabu.
Bila ya kuelewa M.E yote ina Jews communities ndio maana Mossad wanauwezo wa ku-infiltrate sehemu yeyote kwenye hilo eneo.
Kama ni mtu ambae upo tayari kujifunza ideology ya Jews. Utaelewa maeneo Israel anayoyataka kuyachukua aijalishi kwa sasa wanaokalia ni waarabu (hawa ni ajali kazi ni tu) hata wangekuwa wazungu, wachina, wahindi or aliens.
Kiapo cha Jews ni kurudisha maeneo yao ya kale na hiyo kazi itafanywa na Messiah.
Messie wa Jews ni nani anaweza kuwa mtu yeyote; mfalme, mwanajeshi mahiri, mwanasiasa, etc.
Kwa Jews Messiah ni mtu atakae waunganisha makabila yao yote, kurudisha ardhi yao yote na kuweza kuilndq na kuwajengea tena ‘great temple yao’.
Hiyo vita has nothing to do with Christianity nor Islam; wala race it’s about Jewish Ideology.
Kilichopo ni Netanyahu anajaribu kuwa ‘have a go hero’ (he fancies the Messiah post) kama unaelewa ideology za Jews na mambo ambayo Netanyahu anataka ku-achieve.
As for mijadala ya JF it’s just sana, kuona extent of it’s audience ignorance on both sides.
Halafu kuna na siasa za M.E sio kwamba Iran hawezi apeleka ndege Israel; sema anga zinamzuia kufika Israel akipita Iraq kuna US airbase, Jordan not a friend na Kuwait kuna US airbase.
Iran anapigana kafungwa mikono inabidi atumie mateke tu. Wakati Israel ana mikono, mateke na wapambe.
Israel anatakiwa aachane na hadithi za kale.
But then na west pia sio wana-msapoti Israel kwa mapenzi; anawasaidia agenda yao ya kuvuruga hiyo region,
It’s complicated
Hadithi tu hizi, hakuna ukweliWaache kutengeneza na kufuga majini
Naona Yahudi anambembeleza US ndio aingie kwenye vita sasa hahaHawa waislam bila kichapo akili haziwakai sawa mkuu.
Ujio wa mwarabu Africa ndio ulileta maandishi ya kiarabu yenye kutengeneza ,kuyaita na kuyatumikisha majini. Mahirizi yote ukifungua ndani Kuna maandishi ya kiarabu. Ndio maandishi haya haya huandikwa na kunyeshwa watu na kuyaita makombe ambayo ni kuliita aina Fulani ya jini na kulinywaHadithi tu hizi, hakuna ukweli
Umewahi kufanyiwa ukatili na mwarabu au nawewe unasikiaga tu ??Waarabu wakiwa minority wana play victims km hivyo ila wakiwa majority watakukata kichwa mbele za watu
We kenge hizo nchi za kiarabu ni viongozi wanata Israel ibaki ili wakae kwenye vitu vyso miaka sababu wanalindwa na Western
We jidanganye tu mimi najifahamu vizuri si kama wewe hujui hata unakwenda wapi. Umekaa kama pipa tu hujui hata Israel wana abudu nini afu unasema taifa teule hahaha. si bora mimi nimefaidika mpaa lugha ya kiarabu naijua. Wewe kiyahudi unakijua? Au ki Aramaic hahaha lugha ya Yesu afu unajiona una akili kenge mmoja
Israel analia huko anasema Missiles za Iran ni za ajabu hasa alizo sukumiwa kwanza mbili ili kuitesa air defense afu zishuke kama nyuki wanaenda kutengeneza asali kwenye mzinga wa Sarah mke wa Netanyahu hahaha.
Yule Sarah kisha kimbia kamuwacha nyau yuko chini ya shimo au kisha ingia kwenye shimo lako
Tatizo lako unadhani raia wote wa hii dunia ni wajinga wenzio wa kuamini hekaya za fvckn Yesu and fbckn allah.We jidanganye tu mimi najifahamu vizuri si kama wewe hujui hata unakwenda wapi. Umekaa kama pipa tu hujui hata Israel wana abudu nini afu unasema taifa teule hahaha. si bora mimi nimefaidika mpaa lugha ya kiarabu naijua. Wewe kiyahudi unakijua? Au ki Aramaic hahaha lugha ya Yesu afu unajiona una akili kenge mmoja
Israel analia huko anasema Missiles za Iran ni za ajabu hasa alizo sukumiwa kwanza mbili ili kuitesa air defense afu zishuke kama nyuki wanaenda kutengeneza asali kwenye mzinga wa Sarah mke wa Netanyahu hahaha.
Yule Sarah kisha kimbia kamuwacha nyau yuko chini ya shimo au kisha ingia kwenye shimo lako
Ningeenda tatizo madanga yako bize kumuadhibu muiranBora umekubali warabu walisha kufungua marinda hahaha sa nenda Israel utapata soko umeisha kuwa na experience 😂
Hapana mimi hio dunia nimekuwachia wewe mimi wacha niheshimu mafunzo ya dini na pia samahani nikitukana sababu Mtume wangu na Mungu ni Red line.Tatizo lako unadhani raia wote wa hii dunia ni wajinga wenzio wa kuamini hekaya za fvckn Yesu and fbckn allah.
Nitajifunza lugha yeyote iwapo kufanya hivyo kutaniingizia kipato ila kuliko kupoteza muda wa kujifunza lugha ya yesu sijui ya muhamed si huo muda niutumie kumbwato nipate utamu.
Unajifunza kiarabu sijui kiebrania for fbckn what!?Huo muda si ukamate demu ushenyente hasa ukizingatia mishenyento inaishia hapa dunian.Ukifa kibol0 kinaliwa na funza kwisha habari yako.Hbari ya bikira 72 na mito ya pombe unapigwa bro.Kama unapenda pombe kamata beer shushia na kitimoto yako ukifa hakuna pepon wala motoni.
Hebu check na webabu tukutane wikiend moja tukale bia na kitimoto achaneni na kuamin hekaya za wazungu na waarabu
Kobazi mwenye akili hajazaliwa badoNa uzuri ni kwamba hayana akili hivyo kuyatesa ni rahisi.
Vichwa vingi vya kobaz ni empty kama vya webabu na Adiosamigo
Uwezi kukuta jamii ya wazungu wanashabikia haya mambo.Umeliweka vizuri kabisa, Kuna watu naona koment zao zinaonyesha kabisa ni namna gani hawafahamu nini kilichopo nyuma ya hii migogori Israel anaianzisha.
Inasikitisha sana afu kuna mtoto wa mama ntilie huku afghanistan anashinda kijiweni kulitetea taifa ilo, mwingine yuko kanisani akipaza sauti kua ni taifa la mungu kwa jina jingine ni kaanan 🙆🏽 SLAVERY SLAVERY SLAVERY 🚮Wafuasi wa mfalme Zumaridi wanaamini eti lile taifa linaloongoza kuwa na watu wanaopenda ushoga, ponografia, kamari, riba, uzinzi , uasherati na mauaji eti ni taifa La Mungu, cha ajabu watu hao hata hawamuamini huyo wanaemuita Mungu wao
Kwani nikiliwa bure kuna shida gani si napata utamu?Wewe utaishia kuliwa bure tu mimi huwa sina time na malaya kama wewe.
Hii ni kweliKobazi mwenye akili hajazaliwa bado
Bora niwe budha kuliko kuwa zombie la kikristo au kiislamu.Hapana mimi hio dunia nimekuwachia wewe mimi wacha niheshimu mafunzo ya dini na pia samahani nikitukana sababu Mtume wangu na Mungu ni Red line.
Unaonyesha mtu mzuri bora uje kwenye Uislam ukristo ni kupotea tu.
Mimi na uzinifu wapi na wapiKwani nikiliwa bure kuna shida gani si napata utamu?
Usinitake tu asante kwa hilo🙏
Sawa we baki na dini yako na sisi tubaki na dini yetuBora niwe budha kuliko kuwa zombie la kikristo au kiislamu.
Hizo dini zenu ni tatizo na ndio sababu damu zisizo na hatia zinamwagika huko Iran na Israel.
Haya madini yanatakwa yafutwe hasa uislamu ni tatizo.Nikisema hivyo utadhan mi mkristo napendelea ukristo ila ukweli wakristo hawana tatizo na watu wa imani zingine.Hata umtukane yesu mbele yao watakuita pepo tu ila subutu kwa waislam,watakuua,watakuchomea nyumba,watachoma makanisa.
Ukienda ulaya,mitaa wanaklishi waarabu kunakua ni gheto,mauaji,uharibifu wa miundombinu,uhalifu,hawasomi n.k.Ukikuta wazungu wanakaa huko ni wale walevi walevi.
Kamwe siwezi kuwa muislam
Na bado. Dozi iendelee mpaka watie akili. Wao si walishangilia ugaidi wa Oct 7Sitaki kukataa wala kukubali kwamba Waarabu ni makatili kiasi hicho cha kustahili kuuawa. Nimeona clip ya mwamdishi wa habari akisimulia Familia nzima ya watu 38 imeuawa na Bomu. Na hizi familia zilikuwa kwenye eneo ambalo zimekimbilia kutafuta hifsdhi kuyakimbua maeneo ambako mapigano yapo. Kwa namna yoyote siwezi kushabikia mauaji ya namna hii. Hao wanawake na watoto wasiojua hata la kufanya wanahusikaje ??
Hezbullah wana ngojea USA waingie tu wamshughulikie IsraelNa bado. Dozi iendelee mpaka watie akili. Wao si walishangilia ugaidi wa Oct 7