Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

Sikupingi mkuu mm nanukuu maneno yako konki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu ya kucheat huwa inawagharimu sana wasichana wa kizazi hiki. Wanaume wengi tunapokubaini tu umecheat biashara huwa imeisha hapo. Hata wale waliopo kwenye ndoa moja ya sababu kuu ya watu kuachana huwa ni hii.
Wanasema mwanaume aliyekomaa anaweza kumvumilia mwanamke anaye cheat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…