Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

ndio maana nilisema una kitu πŸ’
umuhimu wa nguo za ndani ni pamoja na:-

1. kujisitiri huko chini dhidi ya takataka, wadudu, vumbi n.k

2. inakufanya uwe jasiri na mwenye kujiamini....

3. ni ulinzi muhimu sana wa hiyo mali apo kati dhidi ya dharura mbalimbali. Ni kama nyumba nzuri ilowekwa fensi au safe ya kutunzia fedha, au kifuniko cha asali πŸ’

4. ni kifuko cha kudhibiti vibration au mitikisiko inayoweza kuzuia uhuru mathalani ktka kutembea, kukimbia, kucheza n.k coz kuna ke wako wamejaaliwa sana. Lakini ata me waliojaaliwa isivyo kawaida, nguo ya ndani husaidia kudhibiti na kutatiza mlingoti endapo network itashika vizur mahala au ktk mazingira pasipostahili πŸ’

huonangi kule uswahilini wanaoenda kuchamba wenzao hujipanga na kujiandaa kwa kujisitiri vizuiri huko chini na nguo za ndani, ila kua jasiri za
 
Kwa wanaume nadhani ni mazoea, ila Mkuu nguo kama jeans utaivaaje bila kutanguliza nguo laini ndani.

Kuna kiasi kwaajili ya kulinda maungo ya uzazi usijijeruhi kwa zipu au mikunjo migumu ya masono ya suruali.

Nisipovaa boxer, vest na soksi nahisi hiyo siku itakuwa ngumu sana kwangu, ila kuna miamba wanadunda bila shida kabisa.
 
Yes πŸ‘Š,
ulinzi wa mali zako huko chini, ndio point ya msingi mno apo, na hiyo ni kitu muhim sana kwa Me πŸ’
 
Wazee wetu siujua tena vichwa vilikuwa resi,labda walivyoona ni vitamu mno wakaona wavitafutie vifuniko vyao special Ili visikimbie.
 
Suruali yako ikipata hitilafu ya kutatuka kwa nyuma afu uko mbali na mazingira ya kuishughulikia ndo utajua umuhimu wake
Nilichanikiwa suruali wakati napanda Bodaboda, nilifedheheka sana aisee maana nilikuwa mbali na nyumbani akili yote ikawa inawaza namna nijisitiri ili nisionekane.

Bahati nzuri nilikuwa na koti nikalishusha kusaidia kufunika pensi ambayo ilianza kuonekana.

Mimi sio mvaaji wa boksa, navaa bukta ndefu. Endapo ningekuwa nimevaa boksa ingekuwa aibu ya mwaka maana suruali ilichanika kuanzia kwenye ungio(msamba) hadi juu nyuma karibu na mkanda.

NGUO ZA NDANI ZINA UMUHIMU WAKE
 
Umemaliza kila kitu[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…