Ni njia ipi Mujarabu ya kumfanya Mwanaume amsahau Mwanamke aliyekuwa anampenda sana?

Umeelewa nilicho uliza kweli?
Iko hivi mufti ana mwanaume ambaye alikua na mwanamke anayempenda na bado hajamsahau kiasi inafikia wako faragha mwanaume anataja jina la huyo mwanamke wake hvyo anaomba wadau tumsaidie mufti atumie njia gani kumfanya huyo mwanaume amsahau huyo mwanamke.

NB:Nimeandika hivyo kwasababu umeandika kichwa cha habari bila kutoa maelezo yanayoeleweka ukiamini kila moja anaijua story yako
 
Atamsahau ila atake mwenyewe sio kupitia chochote utachomfanyia wewe,
Stop wasting your energy
 
Iko hivi mufti ana mwanaume ambaye alikua na mwanamke anayempenda na bado hajamsahau kiasi inafikia wako faragha mwanaume anataja jina la huyo mwanamke wake hvyo anaomba wadau tumsaidie mufti atumie njia gani kumfanya huyo mwanaume amsahau huyo mwanamke.

NB:Nimeandika hivyo kwasababu umeandika kichwa cha habari bila kutoa maelezo yanayoeleweka ukiamini kila moja anaijua story yako
Una kichwa kigumu sana
 
Back
Top Bottom