Ni njia ipi Mujarabu ya kumfanya Mwanaume amsahau Mwanamke aliyekuwa anampenda sana?

Ni njia ipi Mujarabu ya kumfanya Mwanaume amsahau Mwanamke aliyekuwa anampenda sana?

Kumsahau mtu ulie mpenda inategemea meachana vip.?

Kama umemfumania unge msahau tu bila msaada wa mtu kwakuwa aliumiza moyo wako

Kama wewe ndio shida hapo kumsahau ni kazi kidogo.

01.Jipende wewe mwenyewe angalia nini unapenda fanya hii itakupunguzia mawazo,

02.Usipende kukaa peke yako jichanganye na watu

03.kama unapicha zake, voice. futa kila kinacho muhusu halafu kubali ukweli kama hamko pamoja

Mimi ili nitokea ila sasa na enjoy tuu nisha msahau.
Hapa kuna mawili. Mwanzisha thread ni mwanamke aliyeiba mume/boy friend wa mwanamke mwenzake na ana wasiwasi kuwa huyo mwanaume bado anamuwaza sana yule mwanamke hivyo anataka kumfanya amsahau. 2. Mwanzisha thread ni mwanaume aliyeiba mke/girlfriend wa mwanaume mwenzake, na ana wasiwasi huyo mume wake wa zamani bado anataka kumrudia au anamfuata fuata.
Jingine: mwanzisha thread anataka kuambiwa kuwa kuna mganga mzuri sana anaweza kumfanyia dawa na akamsahau kabisa.(kumbuka kuwa binadamu hupenda kuambiwa kile akili yake inachowaza)
 
Najua kuna wajuzi humu jamvini, tafadhali msaada juu ya mada tajwa hapo juu [emoji1317]

Nahitaji kumsahau mwanamke niliyekuwa nampenda sana [emoji17]
Angalia madhaifu yake halafu yaweke front page anasahaulika mbona


anyway mwanamke mwenzetu kaupiga mwingi sana abarikiwe huko aliko
 
Najua kuna wajuzi humu jamvini, tafadhali msaada juu ya mada tajwa hapo juu 🙏🏻

Nahitaji kumsahau mwanamke niliyekuwa nampenda sana 😔
Tuelezee kwanza, huyo mwanamke alikuacha, mliachana, ulimuacha ama alifariki?
Njia zilizopelekea kutokuwa naye leo zinatofautiana na maumivu yake yanatofautiana pia.
Sasa, ninaomba ueleze moja wapo ya hizo njia ili tuweze kushauri sawasawa.
 
Back
Top Bottom