Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
- #61
MhhBandika picha zake chumbani kwako, ukimuona utakuwa unapata hasira na utaanza kumchukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhhBandika picha zake chumbani kwako, ukimuona utakuwa unapata hasira na utaanza kumchukia
Hapa kuna mawili. Mwanzisha thread ni mwanamke aliyeiba mume/boy friend wa mwanamke mwenzake na ana wasiwasi kuwa huyo mwanaume bado anamuwaza sana yule mwanamke hivyo anataka kumfanya amsahau. 2. Mwanzisha thread ni mwanaume aliyeiba mke/girlfriend wa mwanaume mwenzake, na ana wasiwasi huyo mume wake wa zamani bado anataka kumrudia au anamfuata fuata.Kumsahau mtu ulie mpenda inategemea meachana vip.?
Kama umemfumania unge msahau tu bila msaada wa mtu kwakuwa aliumiza moyo wako
Kama wewe ndio shida hapo kumsahau ni kazi kidogo.
01.Jipende wewe mwenyewe angalia nini unapenda fanya hii itakupunguzia mawazo,
02.Usipende kukaa peke yako jichanganye na watu
03.kama unapicha zake, voice. futa kila kinacho muhusu halafu kubali ukweli kama hamko pamoja
Mimi ili nitokea ila sasa na enjoy tuu nisha msahau.
Angalia madhaifu yake halafu yaweke front page anasahaulika mbonaNajua kuna wajuzi humu jamvini, tafadhali msaada juu ya mada tajwa hapo juu [emoji1317]
Nahitaji kumsahau mwanamke niliyekuwa nampenda sana [emoji17]
Kwanini useme kaupiga mwingi?Angalia madhaifu yake halafu yaweke front page anasahaulika mbona
anyway mwanamke mwenzetu kaupiga mwingi sana abarikiwe huko aliko
Tuelezee kwanza, huyo mwanamke alikuacha, mliachana, ulimuacha ama alifariki?Najua kuna wajuzi humu jamvini, tafadhali msaada juu ya mada tajwa hapo juu 🙏🏻
Nahitaji kumsahau mwanamke niliyekuwa nampenda sana 😔