Ni njia ipi Mujarabu ya kumfanya Mwanaume amsahau Mwanamke aliyekuwa anampenda sana?

Ni njia ipi Mujarabu ya kumfanya Mwanaume amsahau Mwanamke aliyekuwa anampenda sana?

Bandika picha zake chumbani kwako, ukimuona utakuwa unapata hasira na utaanza kumchukia
 
Kumsahau mtu ulie mpenda inategemea meachana vip.?

Kama umemfumania unge msahau tu bila msaada wa mtu kwakuwa aliumiza moyo wako

Kama wewe ndio shida hapo kumsahau ni kazi kidogo.

01.Jipende wewe mwenyewe angalia nini unapenda fanya hii itakupunguzia mawazo,

02.Usipende kukaa peke yako jichanganye na watu

03.kama unapicha zake, voice. futa kila kinacho muhusu halafu kubali ukweli kama hamko pamoja

Mimi ili nitokea ila sasa na enjoy tuu nisha msahau.
 
Back
Top Bottom