Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Sugu ndio alianzisha bongo flava?!

Una uhakika au unaongea tu kisa umeshiba?!
Hata singeli inakufaa dogo Sugu ni revolutionist sio mbongo flava wanaitwaga matrend setter unaweza amua Leo agombee uraisi kesho hadi babako atataka gombea urahisi amashape Maisha kwa ujumla ya vijana kwa zaidi ya miaka 30 toka kipindi cha mikononi mwa Polisi hadi sasa freedom...ila ndo hivyo dawa ya jeuri ni kua jeuri zaidi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada are you a zuzu!?
1.Kipindi cha Sugu hakukuwa na radio fm nyingi!
2.Sugu hakuwa mtu wa promo, hilo alilisisitiza toka enzi!
3.Sugu hakuwa na matamasha mengi, nyimbo nyingi alifanya akiwa nje ya Tanzania!
4.Kipindi cha Sugu video na audio studios hazikuwa sawa na kipindi cha Prof. J!
5.Sugu aliimba maisha kama alivyokuwa akiyaishi!
 
ukitoa wimbo wa Haki,Chini ya 18 na Hold on labda kidogo Hayakuwa Mapenzi nyimbo zote zilizobaki za sugu ni kelele tu...na ukizungumzia nyimbo za harakati Sugu agusi hata robo ya Roma Mkatoliki tofauti yao itakuwa sugu alianza kuchana zamani basi

Mkuu tafuta nyimbo ya Sugu inaitwa NI WAPI TUNAKWENDA ndio utamwelewa huyu jamaa, MIKONONI MWA POLISI, MAISHA
 
"... Sitoi rushwa kwa ma dj wa kibongo,
Dj kama hupigi nyimbo zangu redioni hakuna maneno, Sugu nilianza kuimba kabla ya FM,
Na bado watu walinikubali..."
-wananiita Sugu
 
Dogo, mwaka 2000 Sugu aliitwa Mr ii na alitoka na album ya MILLENNIUM, 2 Proud ulisikia kwenye simulizi tu! It was before that!
 
Sugu haimbagi chochote kile cha maana zaidi tu ya kupata sifa kuwa eti ni rapper wa kwanza na mkongwe hapa Bongo na alichangia kuukuza mziki wa HipHop na rap.

Hamna kitu pale...Prof ndio Msanii Fundi.

Kama wamzungumzia Sugu sawa, ila 2 Proud alikuwa mtu mwingine kabsa na ndio maana leo wamwona bungeni. Jamaa ni mwanaharakati kitambo kuna nyimbo zake hadi hao uliowataja walikuwa wakiziimba. Tafuta hii uickilize kwanza NI WAPI TUNAKWENDA
 
SUGU ni zaidi ya Professor J.

Anayedhani ni Professor J, Hakika huyo ni mtoto wa majuzi tu. Sitashangaa akimsifia hata Juma nature.

Kwakua Hafahamu CHOCHOTE kuhusu mapinduzi ya HiPHOP ya kiswahili ilipoweza kuimbwa na story ikaleta maana, yalipoanzia baada ya kupita wakina Saleh Jabri..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni mimi kama Kingkong, hapa mpaka hongkong,....Shule namaliza sinapakujishikiza, nabaki najiuliza,...Hata kama napenda sasa niganye nini, na hata kama supendi sasa niseme nini, na haya ndio maisha nnayo ishi... oooh.... mpaka shauritanga tukabaki na matanga....
 
Yamenikuta mzee mwenzangu
Sina changu
Wanga wengi anga zangu
Kiama chao ama changu
Ukiishi kwa upanga
Utakufa kwa upanga
Mola ndie anaepanga
Hawakawii kukuzushia
Flan ana H.I.V
Wanapakaza hivi hivi

Tukirudi kwenye mitaa ndio baraa, police wanatugasi, wanatamani watumalize kwa risasi,kucheka nataka kulia nataka, nabaki tu mdomo wazi, wasomi wamejazana hakuna kazi, kilichobaki tukazane tu mabibi na mabwana kwani hakuna namna tena
 
bado sijaona msukumo wa kuanzisha TRA toka kwa wakoloni,kama ni inefficiency hao walokua wanakusanya mwanzo wangeongeza tu ufanisi,kwa kweli mwinyi ni kiongozi mwenye maono na busara sana

Opinion yako iko irrelevant mkuu, unaeleweshwa elewa umepewa hadi sources zakuweza pata habari zaidi, Mwinyi alikuwa anafanya maagizo tu ya SAPs. Nyerere alisema hawezi geuka jiwe ikabidi aachie madaraka bila kupenda
 
Tukirudi kwenye mitaa ndio baraa, police wanatugasi, wanatamani watumalize kwa risasi,kucheka nataka kulia nataka, nabaki tu mdomo wazi, wasomi wamejazana hakuna kazi, kilichobaki tukazane tu mabibi na mabwana kwani hakuna namna tena
Yamenikuta mzee mwenzagu sina changu
Wanga wengi anga zangu
Kiama chao ama changu.
 
Hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…