Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikunywa konyagi kubwa na kadogo nusu alafu dry nilizima aisee,simu nikaacha kwenye taxi niliumwa siku mbili sili sinywi from that day sijawahi na sitawahi kunywa konyagi hata ndugu zake siwataki[emoji1787]
Umenitamanisha konyagi gafla..ngoja nikanunue viwili niweke kwenye chupa ya maji watu waone nagonga maji[emoji23][emoji23]
 
Mambo ya dunia ni mengi[emoji1787]
Hatuwezi jaribu kila kitu vya dunia, [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kuna vingine ukijiribu vinakutia ulevi wa milele unakua teja, konyagi ni ngumu sana yaani kwa kifupi una mapafu ya kiume kuweza kunywa konyagi
 
Wewe bado umelewa kweli
 
Wewe sasa umeenda extra miles maugolo ya nin mzee
 
Hatuwezi jaribu kila kitu vya dunia, [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kuna vingine ukijiribu vinakutia ulevi wa milele unakua teja, konyagi ni ngumu sana yaani kwa kifupi una mapafu ya kiume kuweza kunywa konyagi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti mapafu ya kiume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeshaacha though
 
Nilichogundua wengi wenu mnakunywa pombe wakati tumbo halina kitu, Mara nyingi pombe huchanganya haraka sana kichwani kama tumbo halina kitu huo ni ukweli na nimeufanyia tafiti
Hili nakuunga mkono.
Pili baada ya tungi uhakikishe chupa mbili za maji unazikata mdogo mdogo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti mapafu ya kiume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeshaacha though
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…