Kwani ni lini Afrika ilipata Uhuru! Bado tuko utumwani.
Tuanze harakati za kujikomboa.
Kwa Mikataba hii ya madini na bandari unadhani Sisi ni watu huru? Aibu sana
Tungekuwa hatuna kitu, maskini,Tukijitambua sawa tutakuwa baraka, kwa sasa ni shamba la bibi mzigo kwa dunia.
So what.sasa kama una vitu vyote hivyo alafu havikunufaishi kama huna laana ni nini?.Unaona ktk uono hafifu!!
1. Madini yote,yanatoka Africa,
2. Malighafi zote hutoka Africa, ambazo hutumika kuzalisha bidhaa na vifaa vyote adimu.
3. Hata kabla ya mashine kugunduliwa, watumwa walitoka Africa kwenda kuzijenga Nchi maskini za ulaya na kuzitajirisha.
4. Mali asili ,misitu mizuri na Kila fursa zipo Africa.
5. Ni bara pekee ambapo unaweza kufanya KILIMO msimu mzima, mabara mengine ni barafu ktk baadhi ya misimu.
Narudia kusema Bila Africa, mabara mengine yasingekuwa yalivyo Leo, hivyo Africa ni BARAKA.
Hao unaowaona wamebarikiwa ndo chanzo Cha Umaskini wa Africa.
Naipenda Africa, Najivunia Kuzaliwa Africa,
Naipenda Nchi yangu nzuri TANZANIA, pia Najivunia Kuzaliwa Tanzania.
Aamen.
Changamoto ni watu wanavyofikiria.Unaona ktk uono hafifu!!

Baraka namba moja ni kua na akili.kama huna akili umelaaniwa.Kubali huu ukweli ili tujikomboe kuitafuta akili kwa vizazi vyetu vijavyo badala ya kujifariji.Hata Mangungo asingeuza Mali ya urithi bila kulaghaiwa na wageni.
Adui yetu anatoka nje alitumia pesa kidogo kulaghai viongozi wetu.
Africa umebarikiwa sana.
Africa inaponzwa na utajiri wake.
Ukiweza kula na kunywa na kufurahi ndio utajiri wenyewe.So what.sasa kama una vitu vyote hivyo alafu havikunufaishi kama huna laana ni nini?.
Akili ni kumtafuta, kumjua Mungu, kuwa na HOFU ya Mungu.Baraka namba moja ni kua na akili.kama huna akili umelaaniwa.Kubali huu ukweli ili tujikomboe kuitafuta akili kwa vizazi vyetu vijavyo badala ya kujifariji.
Mwafrika amebarikiwa nini?Anaye kuambia kuwa mwafrica umelaaniwa, mrudie na kumwelewesha jinsi ULIVYOBARIKIWA baada ya kusoma HEKIMA za MUNGU Kupitia Kwa Rabbon.
Amen
Yep tungeanza na katiba mpya, elimu ya kuwajenga watoto wao kuchambua vitu na kufanya maamuzi sahihi. Walimu wetu waheshimike na kulipwa vyema wawe proud na kazi zao. Mitaala izingatie mazingira yetu.Baraka namba moja ni kua na akili.kama huna akili umelaaniwa.Kubali huu ukweli ili tujikomboe kuitafuta akili kwa vizazi vyetu vijavyo badala ya kujifariji.
Huyo Mungu anatafutwa kwani amejificha?Akili ni kumtafuta, kumjua Mungu, kuwa na HOFU ya Mungu.
Africa ndiyo inakwenda kuinuka juu sana katika Kila kitu, kiuchumi, kimaarifa kisiasa nk nk.
Sababu kuu ni Mungu anatafutwa sana na Waafrica na wanamkubali.
Mabara mengine yanakwenda kufifia Ili Afrika ipae zaidi.
Usipoyaona Leo, panda mabegani mwa watoto na vitukuu uyachungulie nikuambiayo Kisha moyo wako ujae furaha tele.
Amen
Watanzania wangapi wanaweza kula, kunywa na kufurahi.Ukiweza kula na kunywa na kufurahi ndio utajiri wenyewe.
Mengine ya ziada ni UBATILI mtupu na kujilisha Upepo.
Hukusoma kuwa,Huyo Mungu anatafutwa kwani amejificha?
Anacho jifichia ni nini? Hadi atafutwe?
Kwamba kigezo cha bara au taifa fulani kufanikiwa ni kuwa na hofu ya Mungu?
Je Ulaya na America walikuwa na hofu ya Mungu, ndicho kilicho wafanya wafanikiwe?
Una elezea nadharia zisizo na uhusiano wowote wala mantiki kwenye mafanikio ya Taifa.
HAKUNA uhusiano wowote wa Taifa kumjua Mungu na kufanikiwa.