Teknolojia za kisasa zinanunulika, tusidharau wawekezaji wa ndani,Huko bara kuna tani zaidi ya milioni 20 zinazotakiwa kuletwa huku bandarini ili zisafirishwe huko nje, huo muda wa kujenga uwezo wa ndani na uendane na uelewa wetu kwamba hizi ni fursa ambazo zinatusubiri sisi tufaidike nazo.
Uwezo wa ndani bila ya teknolojia za kisasa, ni changamoto nzito sana.
Bandari ya kisasa huwezi kuiendesha kwa kubahatisha, sio mahali pa kujifunzia uendeshaji wa biashara kubwa.Teknolojia za kisasa zinanunulika, tusidharau wawekezaji wa ndani,
Mzee mengi akifanikiwa kuendesha vizuri viwanda vyake, Hadi maji ya Kilimanjaro yaliuzwa South Africa kombe la Dunia kama brand kubwa.
Arusha Kuna wazawa wanachimba kisasa, kamwe msidharau uwezo wa wazawa.
Mkishindwa, Jeshi Linaweza.
Tumeshakataa Hilo dude fake na BATILI.Bandari ya kisasa huwezi kuiendesha kwa kubahatisha, sio mahali pa kujifunzia uendeshaji wa biashara kubwa.
Biashara ya end to end logistic anayotaka kuianza mwarabu pale TPA ni kubwa sana inahitaji nidhamu pana na pia elimu za kisasa za usimamiaji wa mitambo.
Katika moja ya vigezo vya hii IGA ni kuhakikisha anajenga utaalam wa watendaji wa ndani kwa maana ya kuviongezea ujuzi vyuo vyetu vya bandari, ni hapo tutakapopata wataalam wenye kuendana na mahitaji ya soko la sasa.
Tarehe 25 mwezi wa kumi tazama TBC utashuhudia ufunguzi wa shughuli za DP World pale TPA, ndio utakapojua kwamba hujui lolote.Tumeshakataa Hilo dude fake na BATILI.
Bandari haiozi.
Unaumwa Si Bure!!Tarehe 25 mwezi wa kumi tazama TBC utashuhudia ufunguzi wa shughuli za DP World pale TPA, ndio utakapojua kwamba hujui lolote.
Project contracts zimeshamalizika, aliyetumwa kuziandaa huko ughaibuni kesharudi na iweke kichwani tarehe hiyo ya mwezi wa kumi. Ili kama unataka kufanya fujo uifanye siku hiyo pale bandarini.Unaumwa Si Bure!!
Nimekwambia hakuna kitachoendelea!!
Unakiri kuwa Bara la Africa lina Kila aina ya utajiri na LIMEBARIKIWA?
Sasa aliyelaaniwa amebarikiwaje Kila kitu?
Ni dhahiri, Anayekuaminisha umelaaniwa ni mgeni Ili uendelee kutojitambua.
Kwahiyo aliyebarikiwa raslimali akiamua kutozitumia muda huo kujitajirisha,Mkuu Rabbon.
Kama mibaraka ni uwingi wa rasilimali hata Zuhura, Zebaki na sayari nyinginezo zimebarikiwa.
Mibaraka ya kweli inaaza na watu.
Kwahiyo aliyebarikiwa raslimali akiamua kutozitumia muda huo kujitajirisha,
Jirani ana HAKI kutumia Hila kuzipora?
Nyerere alikosea kutochimba mafuta na gesi ilhali akijua utajiri huo upo?
Nijibu tafadhali!!
[emoji849]Unaona ktk uono hafifu!!
1. Madini yote,yanatoka Africa,
2. Malighafi zote hutoka Africa, ambazo hutumika kuzalisha bidhaa na vifaa vyote adimu.
3. Hata kabla ya mashine kugunduliwa, watumwa walitoka Africa kwenda kuzijenga Nchi maskini za ulaya na kuzitajirisha.
4. Mali asili ,misitu mizuri na Kila fursa zipo Africa.
5. Ni bara pekee ambapo unaweza kufanya KILIMO msimu mzima, mabara mengine ni barafu ktk baadhi ya misimu.
Narudia kusema Bila Africa, mabara mengine yasingekuwa yalivyo Leo, hivyo Africa ni BARAKA.
Hao unaowaona wamebarikiwa ndo chanzo Cha Umaskini wa Africa.
Naipenda Africa, Najivunia Kuzaliwa Africa,
Naipenda Nchi yangu nzuri TANZANIA, pia Najivunia Kuzaliwa Tanzania.
Aamen.
Kwamba Mporaji anakuwa Mbarikiwa!!!Nyerere hakukosea kwasababu wakati anatawala, rasilimali hizo zilikuwa potentially za watanzania.
Wanaobarikiwa ni watu. Rasilimali zaweza kuwa baraka au laana na nadhani misingi aliyoiweka Nyerere imesaidia kuzifanya rasilimaliza Tanzania zisiwe laana kwa haraka ingawa awamu zilizofuata (ukimwacha JPM) wameigeuza hiyo fasta .
Mifano ni mingi. Sudani, DRC,Angola, na Afrika yaKati kwa uchache.
Hapo mkuu naongelea rasilimali kama laana zinaposhindwa kuwa msaada kwa kupunguza ukali wa maisha kwa wenye nazo au kuleta mateso ya vita za wenyewe kwa wenyewe au kufaidisha watu wachache tu kwenye jamii au vyote vitatu, wakati zinafanyiwa biashara.
Hii ndiyo hali iliyopo hapo kwetu.
Kuhusu jirani, utasemaje amekupora kama umempa mwenyewe, tena kwa mkataba unaotambuliwa kisheria?
Laana inabakia kwako na mporaji ndiye anakuwa mbarikiwa!
Ngozi nyeusi ina laana ya milele.Sisi watu weusi ni wabinafsi na wanafiki sana, hili ni tatizo letu kubwa nafikiri ni toka uumbaji wa ulimwengu. Mfano mdogo tu ni hao hao alioshangilia mchina aisipewe bandari ya Bangamoyo kwa miaka 99 wakati wa Magufuli kwa masharti ya kichaa tu ndiyo anaweza kusign mkataba huo ndiyo hao hao leo hii wanashangilia DP World kupewa mkataba wa milele.
Mungu ni KWELI.Akili ni kumtafuta, kumjua Mungu, kuwa na HOFU ya Mungu.
Africa ndiyo inakwenda kuinuka juu sana katika Kila kitu, kiuchumi, kimaarifa kisiasa nk nk.
Sababu kuu ni Mungu anatafutwa sana na Waafrica na wanamkubali.
Mabara mengine yanakwenda kufifia Ili Afrika ipae zaidi.
Usipoyaona Leo, panda mabegani mwa watoto na vitukuu uyachungulie nikuambiayo Kisha moyo wako ujae furaha tele.
Amen
Sawa ila Malawi Zambia uchumi ni choka mbaya pamoja na kubadilisha viongozi upande wa upinzani uwezi kulinganisha na TanzaniaUnaulaani Uafrika lakini unasahau kuwa siasa safi Tanzania haipo,kwa nini usijulize kuwa nchi za Malawi,Zambia na Ghana ambazo zote ziko Afrika huwa zinafanyaje kubadilisha viongozi wa Vyama mbali mbali na nchi zao zikabikia salama?