Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Intelligence ya ccm ilitaka ku spin uchaguzi wa chadema siku mbili kabla Kwa maamuzi waliyofanya pale Dodoma!

Mzee kikwete alisema wazi tujiandae uchaguzi utakua mgumu sana!

Yale maamuzi waliyofanya pale dodoma ndio yanaenda kukitesa chama kabisa lakini ndio calculated movement ya dola hiyo na ushindi wa Lisu ndio matakwa ya Tanganyika Ili atumike kumuondoa "Mama mzanzibari anaeuza Mali za Tanganyika"

Kazi tunayo!

Mpina aende mahakami kupinga kuvunjwa utaratibu wa chama katika uteuzi wa mgombea!
 
Mtu ambae familia yake Iko Nje ya Nchi na ambae Huwa anakimbilia Kwa hao akizingua wewe unadhani ni nani?
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa taarifa yako kiongozi kama Tundu Lissu ameshatoka na kupita hiyo stage ya Self service ya kujikimu na kuhudumia familia yake kama unavyobainisha, Sasa hivi hatua aliyokuwepo ni Service to others na amedhamiria kwa nia ya dhati.

Mboga mboga mnapendelea sana familia zenu kiasi cha kuweka rehani na kupiga mnada nchi na rasilimali zake.

Propaganda ya familia yake kuwa nje ya nchi haina mashiko kwa sasa. Jitahidi utafute nyingine hiyo ime expire.
 
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaathah na wengineo wameshindwa kazi.
 
Sio proof ni ngonjera, kwa logic yako kila mtanzania alie na familia nje ni kibaraka?
Man hoja nyepesi sana, bado huna fact huna proof
Kama ngonjera za DP World imekataza kujenga Bandari zingine au siyo? 😁😁
 
Ni kweli wamepaniki, hawakutegemea matokeo yangekuwa vile. Hawa wanatakiwa wapekwe mchakamchaka mpaka wapoteane kuelekea uchaguzi mkuu
 
Tusimalize maneno hao jamaa wana hadi bei ya kununua watu wakihitaji hao tunaowaamini inawezekana kwao.
 
Uliposema unatembea mtaani na unapata majibu hayo ndo nikakuamini mana huko ndipo kwenye majibu halisi yaani kwenye watu 100 wazee wawili ndo wanaikubali ccm. daah binafsi inaniuma mana ndimo nmekulia ila sasa viongozi waliopo kazi imeisha kbs
 
Tanzania bila CCM inawezekana
 

Lipi walilofanya ukaamini wameanza kupata akili!
 
Hoja za kujifariji hizi. CCM nchi nzima ina wanachama milioni 12.5 bado wale wapiga kura wapya inaowapata siku za kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…