Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Baraka,Utulivu wa kujibu kusema sina uwezo huo unao, lakini wa kutoa definition ya baraka huna.
Unachekesha sana wewe.
Yani definition ya baraka tu umeifanya kama solution ya String Theory au solution ya Riemann's Hypothesis?
Mkuu Kiranga, kumbe Doctor Ngariba hajajiharishia.Baraka,
Ni wema/heri/rehema/neema aipatayo mtu kutoka kwa Mungu kwa kuombewa au kutakiwa na wenye uwezo/karama/ hadhi ya kufanya hivyo.
Definition hii haifai kwako kwa kuwa wewe huna imani na uwepo wa Mungu.
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.Baraka,
Ni wema/heri/rehema/neema aipatayo mtu kutoka kwa Mungu kwa kuombewa au kutakiwa na wenye uwezo/karama/ hadhi ya kufanya hivyo.
Definition hii haifai kwako kwa kuwa wewe huna imani na uwepo wa Mungu.
Mwambie jamaako aje na aeleze mantiki ya mzazi kumtegemea mtoto iwe kama kufanya biashara.Mkuu Kiranga, kumbe Doctor Ngariba hajajiharishia.
Ataongeza huyo mkeo kwa niaba yako, watakusaidia huko aliko, andaa jina na matumizi tuHabari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike.
Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama mtanzania age 27) nilimpeleka mwenyewe. Anajiweza. Na pia sipo nae kimahusiano kwa sasa ila nina mtunza huyu binti.
(Nia nikutoa point za uchumi na uhusiano). Sasa sina Wazo lolote la kuongeza mtoto, yaani nina mapenzi yaliyopitiliza kwa huyu niliye nae.
Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?
Au huwaga ni bahati mbaya tu, mimba hiyo?
Nimekujibu definition ya baraka na chini pale nikakwambia hii definition siyo relevant kwako kwa kuwa huamini uwepo wa Mungu.Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.
Yani imeambiwa u define uharisho mdogo wa baraka ni nini, unaleta uharisho mkubwa zaidi wa Mungu.
Katoka kwenye kujiharishia sana anakunya mpaka utumbo.Mkuu Kiranga, kumbe Doctor Ngariba hajajiharishia.
Hiyo definition si relevant period, kwa sababu ina assumption ambayo umeshindwa kui prove.Nimekujibu definition ya baraka na chini pale nikakwambia hii definition siyo relevant kwako kwa kuwa huamini uwepo wa Mungu.
Hilo la Mungu nimelitaja kwa kuwa definition ya Baraka inalazimika kutajwa huo msamiati.
Mkuu ulihitaji definition,Katoka kwenye kujiharishia sana anakunya mpaka utumbo.
Umetoa definition ambayo umeshindwa kuitetea.Mkuu ulihitaji definition,
Sijakujibu?
Average ya watoto 2.1, mmmmmh, kuna mtoto asiyekamilika?! Sijawahi kuona!Mkuu,
Mimi ni kama wewe, nilipata mmoja tu nikaridhika.
Kama unapenda dunia iendelee kuwa na watu, unatakiwa angalau kuwa na watoto wawili.
Actually kimahesabu ya takwimu tunatakiwa kuwa na average ya watoto 2.1, hii ndiyo replacement rate.
Ukiwa na mtoto mmoja wewe, na dunia nzima ikiwa na mtoto mmoja average, maana yake kizazi kinachofuata kitakuwa nusu ya kizazi hiki, na kinachokifuatia kitakuwa nusu ya hiki, mpaka kizazi kitaisha.
Mpaka hapo umeshinda,kongole.Hiyo definition si relevant period, kwa sababu ina assumption ambayo umeshindwa kui prove.
Hiyo nadhani iko wazi, unapozaa mtoto ili aje akutunze, hapo ume invest, investment ni biashara.Mwambie jamaako aje na aeleze mantiki ya mzazi kumtegemea mtoto iwe kama kufanya biashara.
Hapa siyo sehemu yake rejea kwenye mada zinazohusu MunguUmetoa definition ambayo umeshindwa kuitetea.
Umeleta hadithi za uongo kama sehemu ya definition.
Nimekupa nafasi ya kuzitetea hadithi hizo.
Umeshindwa, huwezi.
Kwa sababu ni za uongo.
Kumbe Kiranga alipata GPA ya 5 kwa uwezo wa mungu!Mpaka hapo umeshinda,kongole.
Ila remind you kuna hint (Mungu) ndiyo iliyokupa Gpa ya 5 kinyume na hapo umefeli mkuu Kiranga tena yumkini ikawa ni zaidi ya kujiharishia
By the way, mtoto anao wajibu wa kumtunza mzazi wake kadri ya uwezo wa mtoto husika.
Inashangaza na kusikitisha sana lakini siyo ajabu kwa watu aina yako kutamka wazi kwamba mzazi kumtegemea mtoto ni sawa na kufanya biashara.
Mkuu,Average ya watoto 2.1, mmmmmh, kuna mtoto asiyekamilika?! Sijawahi kuona!
Sasa kama hapa si sehemu yake kwa nini umeleta habari ya Mungu?Hapa siyo sehemu yake rejea kwenye mada zinazohusu Mungu
Thibitisha Mungu yupo kwanza.Mpaka hapo umeshinda,kongole.
Ila remind you kuna hint (Mungu) ndiyo iliyokupa Gpa ya 5 kinyume na hapo umefeli mkuu Kiranga tena yumkini ikawa ni zaidi ya kujiharishia
By the way, mtoto anao wajibu wa kumtunza mzazi wake kadri ya uwezo wa mtoto husika.
Inashangaza na kusikitisha sana lakini siyo ajabu kwa watu aina yako kutamka wazi kwamba mzazi kumtegemea mtoto ni sawa na kufanya biashara.
Ahahah mkuu kwamba ni MENTAL HEALTH ISSUE??Wai kituo cha afya.
Mkuu, kwa hiyo hapo, kila mwanamke atazaa watoto 2.1. Kimahesabu, hii maana yake nini? Tufafanulie!Mkuu,
Hii ni average.
Watu wanne, couples mbili, wakiwa na watoto watatu, couple moja ina watoto wawili, nyingine ina mtoto mmoja, kwa average hapo kila couple ina mtoto 1.5
Unachukua idadi ya watoto watatu, inaigawanya kwa idadi ya couples, mbili.
3/2 = 1.5.
Average ni 1.5 children per couple.
Hiyo haina maana kuna mtoto nusu sehemu yoyote, ni mahesabu ya average tu hayo.
Soma zaidi
Replacement level fertility and future population growth - PubMed
'Replacement level fertility' is a technical term which seems almost self-explanatory. However there are some important qualifications which make it a more difficult concept than might be supposed. Also, the relationship between replacement level fertility and zero population growth is...pubmed.ncbi.nlm.nih.gov
PIP: Replacement level fertility is the level of fertility at which a population exactly replaces itself from one generation to the next. In developed countries, replacement level fertility can be taken as requiring an average of 2.1 children per woman.