Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

Utulivu wa kujibu kusema sina uwezo huo unao, lakini wa kutoa definition ya baraka huna.

Unachekesha sana wewe.

Yani definition ya baraka tu umeifanya kama solution ya String Theory au solution ya Riemann's Hypothesis?
Baraka,
Ni wema/heri/rehema/neema aipatayo mtu kutoka kwa Mungu kwa kuombewa au kutakiwa na wenye uwezo/karama/ hadhi ya kufanya hivyo.

Definition hii haifai kwako kwa kuwa wewe huna imani na uwepo wa Mungu.
 
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.

Yani umeambiwa u define uharisho mdogo wa baraka ni nini, unaleta uharisho mkubwa zaidi wa Mungu.
 
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike.

Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama mtanzania age 27) nilimpeleka mwenyewe. Anajiweza. Na pia sipo nae kimahusiano kwa sasa ila nina mtunza huyu binti.

(Nia nikutoa point za uchumi na uhusiano). Sasa sina Wazo lolote la kuongeza mtoto, yaani nina mapenzi yaliyopitiliza kwa huyu niliye nae.

Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?

Au huwaga ni bahati mbaya tu, mimba hiyo?
Ataongeza huyo mkeo kwa niaba yako, watakusaidia huko aliko, andaa jina na matumizi tu
 
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.

Yani imeambiwa u define uharisho mdogo wa baraka ni nini, unaleta uharisho mkubwa zaidi wa Mungu.
Nimekujibu definition ya baraka na chini pale nikakwambia hii definition siyo relevant kwako kwa kuwa huamini uwepo wa Mungu.

Hilo la Mungu nimelitaja kwa kuwa definition ya Baraka inalazimika kutajwa huo msamiati.
 
Hiyo definition si relevant period, kwa sababu ina assumption ambayo umeshindwa kui prove.
 
Mkuu ulihitaji definition,
Sijakujibu?
Umetoa definition ambayo umeshindwa kuitetea.

Umeleta hadithi za uongo kama sehemu ya definition.

Nimekupa nafasi ya kuzitetea hadithi hizo.

Umeshindwa, huwezi.

Kwa sababu ni za uongo.
 
Mkuu,

Mimi ni kama wewe, nilipata mmoja tu nikaridhika.

Kama unapenda dunia iendelee kuwa na watu, unatakiwa angalau kuwa na watoto wawili.

Actually kimahesabu ya takwimu tunatakiwa kuwa na average ya watoto 2.1, hii ndiyo replacement rate.

Ukiwa na mtoto mmoja wewe, na dunia nzima ikiwa na mtoto mmoja average, maana yake kizazi kinachofuata kitakuwa nusu ya kizazi hiki, na kinachokifuatia kitakuwa nusu ya hiki, mpaka kizazi kitaisha.
Average ya watoto 2.1, mmmmmh, kuna mtoto asiyekamilika?! Sijawahi kuona!
 
Hiyo definition si relevant period, kwa sababu ina assumption ambayo umeshindwa kui prove.
Mpaka hapo umeshinda,kongole.
Ila remind you kuna hint (Mungu) ndiyo iliyokupa Gpa ya 5 kinyume na hapo umefeli mkuu Kiranga tena yumkini ikawa ni zaidi ya kujiharishia

By the way, mtoto anao wajibu wa kumtunza mzazi wake kadri ya uwezo wa mtoto husika.

Inashangaza na kusikitisha sana lakini siyo ajabu kwa watu aina yako kutamka wazi kwamba mzazi kumtegemea mtoto ni sawa na kufanya biashara.
 
Umetoa definition ambayo umeshindwa kuitetea.

Umeleta hadithi za uongo kama sehemu ya definition.

Nimekupa nafasi ya kuzitetea hadithi hizo.

Umeshindwa, huwezi.

Kwa sababu ni za uongo.
Hapa siyo sehemu yake rejea kwenye mada zinazohusu Mungu
 
Mpaka hapo umeshinda,kongole.
Ila remind you kuna hint (Mungu) ndiyo iliyokupa Gpa ya 5 kinyume na hapo umefeli mkuu Kiranga tena yumkini ikawa ni zaidi ya kujiharishia

By the way, mtoto anao wajibu wa kumtunza mzazi wake kadri ya uwezo wa mtoto husika.

Inashangaza na kusikitisha sana lakini siyo ajabu kwa watu aina yako kutamka wazi kwamba mzazi kumtegemea mtoto ni sawa na kufanya biashara.
Kumbe Kiranga alipata GPA ya 5 kwa uwezo wa mungu!
 
Average ya watoto 2.1, mmmmmh, kuna mtoto asiyekamilika?! Sijawahi kuona!
Mkuu,

Hii ni average.

Watu wanne, couples mbili, wakiwa na watoto watatu, couple moja ina watoto wawili, nyingine ina mtoto mmoja, kwa average hapo kila couple ina mtoto 1.5

Unachukua idadi ya watoto watatu, inaigawanya kwa idadi ya couples, mbili.

3/2 = 1.5.

Average ni 1.5 children per couple.

Hiyo haina maana kuna mtoto nusu sehemu yoyote, ni mahesabu ya average tu hayo.

Soma zaidi

PIP: Replacement level fertility is the level of fertility at which a population exactly replaces itself from one generation to the next. In developed countries, replacement level fertility can be taken as requiring an average of 2.1 children per woman.
 
Mpaka hapo umeshinda,kongole.
Ila remind you kuna hint (Mungu) ndiyo iliyokupa Gpa ya 5 kinyume na hapo umefeli mkuu Kiranga tena yumkini ikawa ni zaidi ya kujiharishia

By the way, mtoto anao wajibu wa kumtunza mzazi wake kadri ya uwezo wa mtoto husika.

Inashangaza na kusikitisha sana lakini siyo ajabu kwa watu aina yako kutamka wazi kwamba mzazi kumtegemea mtoto ni sawa na kufanya biashara.
Thibitisha Mungu yupo kwanza.

Maana hapo ndipo ulipo mzizi wa matatizo yako yote.
 
Mkuu,

Hii ni average.

Watu wanne, couples mbili, wakiwa na watoto watatu, couple moja ina watoto wawili, nyingine ina mtoto mmoja, kwa average hapo kila couple ina mtoto 1.5

Unachukua idadi ya watoto watatu, inaigawanya kwa idadi ya couples, mbili.

3/2 = 1.5.

Average ni 1.5 children per couple.

Hiyo haina maana kuna mtoto nusu sehemu yoyote, ni mahesabu ya average tu hayo.

Soma zaidi

PIP: Replacement level fertility is the level of fertility at which a population exactly replaces itself from one generation to the next. In developed countries, replacement level fertility can be taken as requiring an average of 2.1 children per woman.
Mkuu, kwa hiyo hapo, kila mwanamke atazaa watoto 2.1. Kimahesabu, hii maana yake nini? Tufafanulie!
 
Back
Top Bottom