Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Baraka,Utulivu wa kujibu kusema sina uwezo huo unao, lakini wa kutoa definition ya baraka huna.
Unachekesha sana wewe.
Yani definition ya baraka tu umeifanya kama solution ya String Theory au solution ya Riemann's Hypothesis?
Ni wema/heri/rehema/neema aipatayo mtu kutoka kwa Mungu kwa kuombewa au kutakiwa na wenye uwezo/karama/ hadhi ya kufanya hivyo.
Definition hii haifai kwako kwa kuwa wewe huna imani na uwepo wa Mungu.