Kibongo bongo mtu akisema hivi Mara nyingi kuna sababu na hiyo sababu mara nyingi anakua hana uwezo wa kubeba/kutungisha mimba.Binafsi sina watoto na sitaki.
Sijaonesha mwanamke ni mtu anayeropoka na hatumii akili kabisa.Hizi habari za kulea ujinga kisa kafanya mwanamke ni upuuzi.
We ndio unazidi kumtusi kwa sababu unaonyesha mwanamke ni mtu anayeropoka na hatumii akili kabisa..which is wrong.
Sasa ni kitu gani kinawafanya mshindwe kusaidiana na kupandana kama watoto wa mama yenu mdogo?!Wala sisi sio masikini, tuna Maisha mazuri sana tuu
Sorry kuna mtu nilikua nam_quote sio wewe.Sijaonesha mwanamke ni mtu anayeropoka na hatumii akili kabisa.
Ninaonesha mwanamke huyu ni mtu anayeropoka na hatumii akili kabisa.
Kuna tofauti kubwa hapo.
Tatizo gani lisiloweza kutatuliwa na pesa ila likatatuliwa kwa utu, ubinadamu na upendo?Nakubaliana na ww kwa asilimia kadhaa tu, ila ukweli HELA SIO suluhisho la kila jambo. Hiyo mifano niliyotoa hapo juu shida haikua pesa bali ni issue ya utu, ubinadamu, upndo, ukaribu watu wanataka uwepo wako etc etc ambavyo havijengwi ktk misingi ya pesa.
Hizi habari za kulea ujinga kisa kafanya mwanamke ni upuuzi.Mkuu, be lenient on her, she is just a woman and they like to bear children, please!
Otherwise she is just an intelligent woman, I know her through her comments.
Huo sio umagharibi wala usasa, ni common sense tu, pia kuna watu wanawahudumia wazazi wao kila kitu na bado wanavaa suruali tobovu.Ndo maana watu wa siku hizi wamekosa baraka mpaka wanafikia kuwa viongozi ilihali wanavaa suruali tobovu tena kwa makusudi.
Kwa nini mzazi asitarajie chochote kutoka kwa mtoto aliyemzaa?
Punguzeni umagharibi na usasa mtazikwa na vihereni.
Vile?Kivipi nini
Wewe wasema mkuu,Mzazi akizaa huku akitarajia chochote kwa mtoto anazaa kwa biashara, ya kutunza mtoto na kutarajia kulipwa.
Kulea mtoto si biashara, ni wajibu wa kifamilia tu.
Baraka ni nini?Wewe wasema mkuu,
Ndo maana watu tunakosa baraka kwa mitazamo ya kwako.
Nenda kwenye kamusi ya kiswahili kiongoziBaraka ni nini?
Sitaki definition ya kamusi, nataka yako.Nenda kwenye kamusi ya kiswahili kiongozi
Umetaka maana kutoka kwangu napenda kukujulisha kwamba maana ninayoifahamu haina tofauti na ya kwenye kamusi kiongozi.Ndo maana nimekwambia ukaangalie huko.Sitaki definition ya kamusi, nataka yako.
Sizungumzi na kamusi, nazungumza na wewe.
Au unatumia maneno ambayo hujui maana yake?
Ukipata bahati mbaya ya kuzaa mtoto mwenye changamoto za akili, tuseme ana some sort of cerebral palsy, hawezi kujisimamia mwenyewe, ikagundulika atakuwa hivyo maisha yake yote, utaacha kumlea na kumtunza kwa sababu hawezi kukusaidia baadaye?
Nilimaanisha, suala la kuzaa kwa wanawake ni ishu sensitive, so wakireact, we show understanding.Hizi habari za kulea ujinga kisa kafanya mwanamke ni upuuzi.
We ndio unazidi kumtusi kwa sababu unaonyesha mwanamke ni mtu anayeropoka na hatumii akili kabisa..which is wrong.
Lazima uishie hapo.Umetaka maana kutoka kwangu napenda kukujulisha kwamba maana ninayoifahamu haina tofauti na ya kwenye kamusi kiongozi.Ndo maana nimekwambia ukaangalie huko.
Hilo la mtoto mlemavu ni exclusive case.
Lakini siyo ajabu sana kwa mtu mwenye mfano wako kuzungumza hilo la mtoto kutokuwa na ulazima wa kuwajibika kwa mzazi wake kwa kuwa wewe ni mtu ambae huamini katika dini.
Mtoto kuwa mlemavu au mzazi kuwa na uwezo wa kujihudumia 100% itakuwa ni miongoni mwa sababu za mtoto kumtumikia mzazi wake kwa uchache au kutowajibika kabisa.
Niishie hapa Kiranga.
Watu wanaamini kuwa wazazi wanaweza, aidha kwa njia ya kutamka maneno fulani au kwa kuwaza tu wakasababisha mtoto akafanikiwa au mambo flani yakamwendea vizuri.Lazima uishie hapo.
Huwezi hata ku define baraka ni nini.
Mkuu sababau inayokufanya uwe na huyo mtoto mmoja ndiyo sababu hiyo hiyo inawafanya wengine wawe na watoto wengi zaidi.Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?