Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

Binafsi sina watoto na sitaki.
Kibongo bongo mtu akisema hivi Mara nyingi kuna sababu na hiyo sababu mara nyingi anakua hana uwezo wa kubeba/kutungisha mimba.

Huko kwa kina Jay z na Beyonce sawa, ila bongo wengi hawamaanishi wanachosema.
 
Hizi habari za kulea ujinga kisa kafanya mwanamke ni upuuzi.

We ndio unazidi kumtusi kwa sababu unaonyesha mwanamke ni mtu anayeropoka na hatumii akili kabisa..which is wrong.
Sijaonesha mwanamke ni mtu anayeropoka na hatumii akili kabisa.

Ninaonesha mwanamke huyu ni mtu anayeropoka na hatumii akili kabisa.

Kuna tofauti kubwa hapo.
 
Mimi naona watoto wawili au watatu ni nzuri zaidi ,Lakini kama unaweza kulea wote
Mungu anamipango yake na chochote kinaweza kutokea .
 
Nakubaliana na ww kwa asilimia kadhaa tu, ila ukweli HELA SIO suluhisho la kila jambo. Hiyo mifano niliyotoa hapo juu shida haikua pesa bali ni issue ya utu, ubinadamu, upndo, ukaribu watu wanataka uwepo wako etc etc ambavyo havijengwi ktk misingi ya pesa.
Tatizo gani lisiloweza kutatuliwa na pesa ila likatatuliwa kwa utu, ubinadamu na upendo?
Ukiwa na pesa au cheo utapata watu wa kuwa karibu na wewe hadi wengine utawakataa.
 
Mkuu, be lenient on her, she is just a woman and they like to bear children, please!

Otherwise she is just an intelligent woman, I know her through her comments.
Hizi habari za kulea ujinga kisa kafanya mwanamke ni upuuzi.

We ndio unazidi kumtusi kwa sababu unaonyesha mwanamke ni mtu anayeropoka na hatumii akili kabisa..which is wrong.
 
Ndo maana watu wa siku hizi wamekosa baraka mpaka wanafikia kuwa viongozi ilihali wanavaa suruali tobovu tena kwa makusudi.

Kwa nini mzazi asitarajie chochote kutoka kwa mtoto aliyemzaa?

Punguzeni umagharibi na usasa mtazikwa na vihereni.
Huo sio umagharibi wala usasa, ni common sense tu, pia kuna watu wanawahudumia wazazi wao kila kitu na bado wanavaa suruali tobovu.
 
Issue iko hivi.
Tunapaswa kuzaa ili:
1. Kujenga familia.
2. Kukuza jamii.
3. Kuendeleza maisha.

Kwa kadri ambavyo utazaa kwa uchache sana ndivyo ambavyo una hatarisha kufikiwa kwa hayo malengo. Na kwa kadri ambavyo utazaa kwa wingi sana pasipo mipango na uwezo wa kusimamia uzazi wako ndivyo ambavyo vile vile utashindwa kutimiza hayo malengo.
 
Hivi mleta mada ulishawahi kuwaza haya;
-Quality variants
-Family existence
-Happy life
-Age complications

Wewe zaa mmoja tu, halafu taratibu utakuja kuelewa na kujutia huo uamuzi wako.
 
Nenda kwenye kamusi ya kiswahili kiongozi
Sitaki definition ya kamusi, nataka yako.

Sizungumzi na kamusi, nazungumza na wewe.

Au unatumia maneno ambayo hujui maana yake?

Ukipata bahati mbaya ya kuzaa mtoto mwenye changamoto za akili, tuseme ana some sort of cerebral palsy, hawezi kujisimamia mwenyewe, ikagundulika atakuwa hivyo maisha yake yote, utaacha kumlea na kumtunza kwa sababu hawezi kukusaidia baadaye?
 
Umetaka maana kutoka kwangu napenda kukujulisha kwamba maana ninayoifahamu haina tofauti na ya kwenye kamusi kiongozi.Ndo maana nimekwambia ukaangalie huko.

Hilo la mtoto mlemavu ni exclusive case.
Lakini siyo ajabu sana kwa mtu mwenye mfano wako kuzungumza hilo la mtoto kutokuwa na ulazima wa kuwajibika kwa mzazi wake kwa kuwa wewe ni mtu ambae huamini katika dini.

Mtoto kuwa mlemavu au mzazi kuwa na uwezo wa kujihudumia 100% itakuwa ni miongoni mwa sababu za mtoto kumtumikia mzazi wake kwa uchache au kutowajibika kabisa.

Niishie hapa Kiranga.
 
Hizi habari za kulea ujinga kisa kafanya mwanamke ni upuuzi.

We ndio unazidi kumtusi kwa sababu unaonyesha mwanamke ni mtu anayeropoka na hatumii akili kabisa..which is wrong.
Nilimaanisha, suala la kuzaa kwa wanawake ni ishu sensitive, so wakireact, we show understanding.

Sikusema tulee ujinga kwa kuwa eti tu anaeutoa ni mwanamke.
 
Umetaka maana kutoka kwangu napenda kukujulisha kwamba maana ninayoifahamu haina tofauti na ya kwenye kamusi kiongozi.Ndo maana nimekwambia ukaangalie huko.

Hilo la mtoto mlemavu ni exclusive case.
Lakini siyo ajabu sana kwa mtu mwenye mfano wako kuzungumza hilo la mtoto kutokuwa na ulazima wa kuwajibika kwa mzazi wake kwa kuwa wewe ni mtu ambae huamini katika dini.

Mtoto kuwa mlemavu au mzazi kuwa na uwezo wa kujihudumia 100% itakuwa ni miongoni mwa sababu za mtoto kumtumikia mzazi wake kwa uchache au kutowajibika kabisa.

Niishie hapa Kiranga.
Lazima uishie hapo.

Huwezi hata ku define baraka ni nini.
 
Lazima uishie hapo.

Huwezi hata ku define baraka ni nini.
Watu wanaamini kuwa wazazi wanaweza, aidha kwa njia ya kutamka maneno fulani au kwa kuwaza tu wakasababisha mtoto akafanikiwa au mambo flani yakamwendea vizuri.

Wengi pia wanaamini kitendo tu cha kumhudumia mzazi, hata asipotamka maneno ama kunuia, maisha yatawaendea vizuri, hizi ndiyo baraka.

This is an attempt, to define the word Baraka.
 
Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?
Mkuu sababau inayokufanya uwe na huyo mtoto mmoja ndiyo sababu hiyo hiyo inawafanya wengine wawe na watoto wengi zaidi.

Kama umeamua kuwa na mtoto mmoja huo ni usmuzi wako,ila usijekuwashsngaa wale ambao wameamua kuwa na watoto wengi maana nao wana hoja za msingi kama zako,na wana hoja ambazo sio za msingi kama zako pia.
 
Back
Top Bottom