Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

Watu wanaamini kuwa wazazi wanaweza, aidha kwa njia ya kutamka maneno fulani au kwa kuwaza tu wakasababisha mtoto akafanikiwa au mambo flani yakamwendea vizuri.

Wengi pia wanaamini kitendo tu cha kumhudumia mzazi, hata asipotamka maneno ama kunuia, maisha yatawaendea vizuri, hizi ndiyo baraka.

This is an attempt, to define the word Baraka.
Mimi nataka huyo aliyelileta hapa ndiye ali define, kwa sababu huyo ndiye aliyelileta na kuna muktadha mzima wa majibizano kati yangu naye.

Hayo yote uliyoyaelezea yanaweza kufafanuliwa na saikolojia bila kutumia neno baraka. Kwa hiyo definition yako, unaweza kuwa umetumia neno "baraka" kama a layman's shortcut expression of some more complex psychological factors.

Kwa mfano, kwenye saikolojia kuna kitu kinaitwa "positive reinforcement", kuzawadia kitu kizuri ili kirudiwe, mzazi anapomsifia mtoto kwa kazi nzuri, mtoto atajitahidi airudie, kwa sababu mtoto anapenda sifa na hataki kumchukiza mzazi.

Hiyo positive reinforcement ya saikolojia kimtaamtaa ndiyo utaambiwa "yule kabarikiwa na wazazi wake, ndiyo maana anafanikiwa".

So psychology explains that better in terms of "positive reinforcement", rewards and incentives.

Kumhudumia mzazi ni human nature for most people kama wana uwezo.

Lakini, tukirudi kwenye mada, mtu kazaa watoto 40, kashindwa kuwalea, wote wamekuwa majanga matupu, walevi, wamefungwa jela, wameuawa, watamuhudumia vipi mzazi hapo?
 
Jamaa amegoma kudefine ameogopa utambana swali.
 
Jamaa amegoma kudefine ameogopa utambana swali.
Na mimi naona hivyo.

Anarusharusha maneno tu kama "baraka" bika hata yeye mwenyewe kueleea anavyosema "baraka" anamaanisha nini.

Ndiyo zikezike habari za layman's uncritically examined shortcuts.

Ukimbana mtu anajikuta na yeye analitumia tu neno bila ya kulichunguza kwa umakini.

Unamtaka aeleze anamaanisha nini anaposema "baraka", anakwambia katazame kwenye kamusi.

Hakwambii hata kamusi gani!

This is how lazy the conversation has been.
 
Aisee[emoji2]
Mkuu unakubali huyu mwamba kazalisha watoto wote 41 kweli?

Au itakuwa wengine ka adopt tu, ma rasta irie jah rastafari hawana noma na mtu hawa, inawezekana wengine kaokota watoto wa familia na wa mtaani kawafanya wake wapate malezi na urithi tu.

Huku anatutambia ana watoto 41.

Watoto 41 ujue si mchezo mkuu 🤣🤣🤣
 
Utulivu wa kujibu kusema sina uwezo huo unao, lakini wa kutoa definition ya baraka huna.

Unachekesha sana wewe.

Yani definition ya baraka tu umeifanya kama solution ya String Theory au solution ya Riemann's Hypothesis?
Labda ni definition nzito sana inahitaji hadi mtu apate utulivu.

Labda ni kama vile unasolve hesabu za Entropy na Enthalapy kwny thermodynamics,

Hadi unahitaji kurefer lile likitabu la Joel, ili kujikumbusha formula.
 
Hawa ni wale watu wanaorusharusha maneno bila kufikiri kwa kina.

Ukimuuliza hapa umetaja neno hili, unapolitaja neno hili unamaanisha nini?

Wanajiharishia.
 
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike.

Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama mtanzania age 27) nilimpeleka mwenyewe. Anajiweza. Na pia sipo nae kimahusiano kwa sasa ila nina mtunza huyu binti.

(Nia nikutoa point za uchumi na uhusiano). Sasa sina Wazo lolote la kuongeza mtoto, yaani nina mapenzi yaliyopitiliza kwa huyu niliye nae.

Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?

Au huwaga ni bahati mbaya tu, mimba hiyo?
Naikumbuka familia fulani ya kishua, walikuwa na mtoto mmoja wa kike, alipomaliza kidato cha sita alienda jeshini kwa mujibu wa sheria, alifariki akiwa huko mafunzoni... mama wa mtoto ilkuwa ni mwendo wa kuzimia na kuzinduka, baadae alipoteza fahamu akalazwa hospital alipata fahamu wakat mazishi yameshafanyika
Baba wa mtoto ilibd ajikaze tu hasa kwa hali ya mkewe
Kwa kifupi walipitia kipindi kigumu sana kukubaliana na ile ukizingatia alkuwa ni mtoto pekee na wao umri ulishaenda.
nmekumbuka tu lile tukio.
 
Back
Top Bottom