hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
africa watoto wengi wanazaliwa kwa bahati mbaya ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nataka huyo aliyelileta hapa ndiye ali define, kwa sababu huyo ndiye aliyelileta na kuna muktadha mzima wa majibizano kati yangu naye.Watu wanaamini kuwa wazazi wanaweza, aidha kwa njia ya kutamka maneno fulani au kwa kuwaza tu wakasababisha mtoto akafanikiwa au mambo flani yakamwendea vizuri.
Wengi pia wanaamini kitendo tu cha kumhudumia mzazi, hata asipotamka maneno ama kunuia, maisha yatawaendea vizuri, hizi ndiyo baraka.
This is an attempt, to define the word Baraka.
Jamaa amegoma kudefine ameogopa utambana swali.Mimi nataka huyo aliyelileta hapa ndiye ali define, kwa sababu huyo ndiye aliyelileta na kuna muktadha mzima wa majibizano kati yangu naye.
Hayo yote uliyoyaelezea yanaweza kufafanuliwa na saikolojia bila kutumia neno baraka. Kwa hiyo definition yako, unaweza kuwa umetumia neno "baraka" kama a layman's shortcut expression of some more complex psychological factors.
Kwa mfano, kwenye saikolojia kuna kitu kinaitwa "positive reinforcement", kuzawadia kitu kizuri ili kirudiwe, mzazi anapomsifia mtoto kwa kazi nzuri, mtoto atajitahidi airudie, kwa sababu mtoto anapenda sifa na hataki kumchukiza mzazi.
Hiyo positive reinforcement ya saikolojia kimtaamtaa ndiyo utaambiwa "yule kabarikiwa na wazazi wake, ndiyo maana anafanikiwa".
So psychology explains that better in terms of "positive reinforcement", rewards and incentives.
Kumhudumia mzazi ni human nature for most people kama wana uwezo.
Lakini, tukirudi kwenye mada, mtu kazaa watoto 40, kashindwa kuwalea, wote wamekuwa majanga matupu, walevi, wamefungwa jela, wameuawa, watamuhudumia vipi mzazi hapo?
Na mimi naona hivyo.Jamaa amegoma kudefine ameogopa utambana swali.
Aisee[emoji2]Mkuu tumepigwa bao 41-1 na mpiga bass wa "Bob Marley and the Wailers" Aston "Family Man" Barret aliyefariki February 3 2024 akiwa na miaka 77.
Jamaa alipata watoto 41 katika maisha yake.
Huyu legend hakutegeategea kazi.
![]()
Aston ‘Family Man’ Barrett, bassist with Bob Marley and the Wailers, dies aged 77
Influential musician also co-produced group’s albums and mentored many Jamaican artistswww.theguardian.com
Mkuu unakubali huyu mwamba kazalisha watoto wote 41 kweli?Aisee[emoji2]
Hana uwezo huo ila sipo kwenye utulivu ningempa definition anayotaka kutoka kwangu.Jamaa amegoma kudefine ameogopa utambana swali.
Wai kituo cha afya[emoji2]Mbona mm hata umuhmu wa huyo mmoja siuoni....
Hata kuoa sioni umuhimu wake....
Sikuelewi walaVile?
Sikuelewi wala
Lugha gongana.
Utulivu wa kujibu kusema sina uwezo huo unao, lakini wa kutoa definition ya baraka huna.Hana uwezo huo ila sipo kwenye utulivu ningempa definition anayotaka kutoka kwangu.
Madam amekua mkali ghafla wapo wangapi hapo home kwa uncle?Swali hilo ulipaswa kuwauliza wazee wako, mnatujazia server tu humu.
Hapana, wewe ndiye upite kimya tuu, nimejifunza kitu kikubwa sana toka kwenye huu mjadala..Swali hilo ulipaswa kuwauliza wazee wako, mnatujazia server tu humu.
Labda ni definition nzito sana inahitaji hadi mtu apate utulivu.Utulivu wa kujibu kusema sina uwezo huo unao, lakini wa kutoa definition ya baraka huna.
Unachekesha sana wewe.
Yani definition ya baraka tu umeifanya kama solution ya String Theory au solution ya Riemann's Hypothesis?
Hawa ni wale watu wanaorusharusha maneno bila kufikiri kwa kina.Labda ni definition nzito sana inahitaji hadi mtu apate utulivu.
Labda ni kama vile unasolve hesabu za Entropy na Enthalapy kwny thermodynamics,
Hadi unahitaji kurefer lile likitabu la Joel, ili kujikumbusha formula.
Naikumbuka familia fulani ya kishua, walikuwa na mtoto mmoja wa kike, alipomaliza kidato cha sita alienda jeshini kwa mujibu wa sheria, alifariki akiwa huko mafunzoni... mama wa mtoto ilkuwa ni mwendo wa kuzimia na kuzinduka, baadae alipoteza fahamu akalazwa hospital alipata fahamu wakat mazishi yameshafanyikaHabari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike.
Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama mtanzania age 27) nilimpeleka mwenyewe. Anajiweza. Na pia sipo nae kimahusiano kwa sasa ila nina mtunza huyu binti.
(Nia nikutoa point za uchumi na uhusiano). Sasa sina Wazo lolote la kuongeza mtoto, yaani nina mapenzi yaliyopitiliza kwa huyu niliye nae.
Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?
Au huwaga ni bahati mbaya tu, mimba hiyo?
Duuuu!Hawa ni wale watu wanaorusharusha maneno bila kufikiri kwa kina.
Ukimuuliza hapa umetaja neno hili, unapolitaja neno hili unamaanisha nini?
Wanajiharishia.
Kwa hiyo mkuu unamaanisha kwamba Doctor Ngariba amejiharishia?Hawa ni wale watu wanaorusharusha maneno bila kufikiri kwa kina.
Ukimuuliza hapa umetaja neno hili, unapolitaja neno hili unamaanisha nini?
Wanajiharishia.
Ndembendembe.Kwa hiyo mkuu unamaanisha kwamba Doctor Ngariba amejiharishia?