Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu, hakuna mtoto 0.1 hivyo hakuna mwanamke atakayezaa watoto 2.1.Mkuu, kwa hiyo hapo, kila mwanamke atazaa watoto 2.1. Kimahesabu, hii maana yake nini? Tufafanulie!
2.1 ni namba ya average ya watoto wanaotakiwa kuzaliwa ili kupata perfect replacement, hiyo ni kwa ajili ya hesabu, average.
Hii ni average.
Niliandika hivi.
Watu wanne, couples mbili, wakiwa na watoto watatu, couple moja ina watoto wawili, nyingine ina mtoto mmoja, kwa average hapo kila couple ina mtoto 1.5
Unachukua idadi ya watoto watatu, inaigawanya kwa idadi ya couples, mbili.
3/2 = 1.5.
Average ni 1.5 children per couple.
Kama kuna kitu hujaelewa hapa, naomba unishirikishe.