Ni sababu zipi zinazofanya kupotea kwa Ben Rabiu Saanane lionekane ni jambo dogo mbele ya vyombo vya dola?

Kubenea aliandika kwenye gazeti lake la Mwanahalisi ukurasa wa kwanza "BEN SAA NANE KUJITOKEZA" na alieleza kuwa anaonekana kwenye vijiwe vya kahawa lakini akina Mbowe hawakufuatilia habari hiyo hadi leo sasa Serikali itaonaje umuhimu wa kuifuatilia habari hiyo
 
Mwendakuzimu Jiwe ndio aliagiza kutekwa na Kupotezwa Kwa Ben
Mungu aendelee kumlaza Mahala Pabaya Jiwe
 
Duh!
 
Hatujakataa kwa kujiendeleza kwake, tunapinga uhalali wa alichokivuna(Hakikuwa sahihi).

Sasa Ben alihoji uhalali wake(PhD) kutokana na hoja alizoziweka. Magu alitakiwa ajibu hizo hoja kwa kuonesha Thesis yake, lakini akaona ataumbuka akachukua uamuzi wa kumpoteza aliyehoji na kuamuru Thesis itolewe Maktaba
 
Kuna utetezi mwingine ukiusoma tu unaona kweli watu wana kiwewe.
 
Wengi Sana wamepotezwa Tanzania!
Kelele za JF Ni Ben Saanane
Achani aende zake, liwe funzo kwa wengine!
Tanzania haikombolewi kwa kumdhihaki Rais,
Kuhoji uhalali wa Elimu yake!

PhD ngapi zinagawiwa burebure tu huko University?
Nyerere hakuikomboa hii Nchi kwa kukashfu Elimu ya Gavana wa Uingereza!

Ben Saanane alikuwa mpumbavu!
Tunawataka wapambanaji aina ya Mwambukusi!

RIP Ben Saanane!
Alichokitafuta kipumbavu amekipata!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wengine wanasema alifungwa mikono na miguu halafu akapelekwa kwenye geto lililokuwa na Chatu mwenye njaa kali, akaachwa amalizane nae. Ila haijulikani ni nani alifanya hivyo
 
Kama ndivyo kwanini MAKONDA hajapelekwa mbele ya sheria!?

Hii inaonesha wazi kwamba swali la mleta mada halitapata jibu kwa sababu muuaji (CCM)bado yuko kwenye hatamu.
 
Wanaoua nao wanakufa.

Sielewi kwa nini tunachagua wasio na akili kuongoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…