Ni sababu zipi zinazofanya kupotea kwa Ben Rabiu Saanane lionekane ni jambo dogo mbele ya vyombo vya dola?

Ni sababu zipi zinazofanya kupotea kwa Ben Rabiu Saanane lionekane ni jambo dogo mbele ya vyombo vya dola?

Hakuna tukio limewahi kuniuma kama la Ben Saanane.
Mbaya zaidi nyakati zake za mwisho hapa JF tulitokea kuwa marafiki wakubwa, akifurahia sana ubuyu wangu kule celebrities forum.

Kupotea kwake kulinifanya nimchukie sana bwana yule! Ila, Mungu anajua zaidi.
Jiwe
 
Kijana Ben alikamatwa na watu "wasiojulikana" (hawa walikuwa ni kikundi cha kuteka na kuua chini ya Makonda) wakamtesa sana, wakamhamisha sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfikisha kwa Magufuli lakini alibaki na msimamo wake kuwa PhD ya Magufuli siyo halali. Hatimaye alikufa katika vyumba vya mateso na maiti yake ikapelekwa MNH kwa jina tofauti.

Nenda UDSM kwenye maktaba ya kitivo cha kemia, ukajaribu kuazima Thesis ya Magufuli, nakuhakikishia hutopewa. Imeondolewa, ni aibu.

Supervisor wa Thesis Magufuli, ambaye ni Profesa jina linaanza na "Bu", alipewa Uwenyekiti wa Bodi mbalimbali baada ya Magufuli kupata uRais. Na Mkuu wa Idara aliyekuwapo wakati huo alikuwa ni mlemavu wa miguu jina lake linaanza na "Prof Md" alipewa Ukatibu Mkuu wa Wizara
Duh!
Yaani lile lilikuwa ni shetani halisi
 
Nikivuta bange za chunya hua napata hisia kua huyu mwamba hajafa Kuna namna imefanyika tu

Kitendo Cha sisi kusema amekufa ndio lengo kuu la mpango........

Sema hizi bangi sio nzurii wazeee
 
Magufuli maisha yake yote alikuwa mwalimu na alijiendeleza baada ya kupata Masters na ushahidi wa picha siku anapata hiyo shahada upo mitandaoni akiwa amekaa pembeni ya Mama yake.

JPM alichukiwa kwa sababu ya misimamo yake ya kutotaka ujinga huko serikalini. Alikuwa na maadui wengi hivyo haikuwa ajabu kumtengenezea hizo habari zikiwa ni sehemu ya chuki.
Inawezekana ikawa sawa,kosa ni kwenye utawala wake kuwepo kwa kundi la watu wasiojulikana na yeye kutokuzungumzia chochote kuhusu watu hao.
 
Hii Nchi watu hawajali, ni muhimu kuwa makini unapopambana na serikali ya CCM. Tukio la kuuliwa Imran Kombe mtu amekuwa Liutenant General wa JWTZ na DG wa TISS anakuja kuuliwa na askari kwa bahati mbaya? Watu waliouwawa huko Zanzibar kwenye uchaguzi wa 95. Hiyo miaka Nyerere, Kawawa, Butiku, Mwinyi, Mkapa et al wote walikuwa hai. Its enough evidence kuonesha CCM ni chama kipo tayari kumaliza watu kubaki madarakani. Siyo tu Ben, Gwanda uchaguzi wa 2025 naona watu wengine wakimalizwa na hiki chama ilikibaki madarakani.
Kwa Tanzania fanya jambo lolote ila sio linalohatarisha usalama wa nchi.
 
Wengi Sana wamepotezwa Tanzania!
Kelele za JF Ni Ben Saanane
Achani aende zake, liwe funzo kwa wengine!
Tanzania haikombolewi kwa kumdhihaki Rais,
Kuhoji uhalali wa Elimu yake!

PhD ngapi zinagawiwa burebure tu huko University?
Nyerere hakuikomboa hii Nchi kwa kukashfu Elimu ya Gavana wa Uingereza!

Ben Saanane alikuwa mpumbavu!
Tunawataka wapambanaji aina ya Mwambukusi!

RIP Ben Saanane!
Alichokitafuta kipumbavu amekipata!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe jamaa utakuwa shoga MZOEFU wewe

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kama alivyosema msemaji wa serikali Mobhare Matinyi kwamba huwa wanasoma mijadala yote muhimu ya humu jamiiforum; basi tunaomba kama watanzania tupatiwe majibu ya swali hili maana sio jambo la kawaida.

Mods msifute huu uzi wala kuunganisha maana unaenda sambamba na kauli ya Mobhare Matinyi juu ya JAMIIFORUM.
Ni kutokujali tu kama ilivyo kwa wafrika wengine
 
Back
Top Bottom