Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwenye usalama wa Nchi sawa. Ila usalama wa chama je?😆😆Jaribu uone.
Kwingine kote huwa wanavumilia,
Ila ukigusa tu maslahi ya Nchi utawaona wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye usalama wa Nchi sawa. Ila usalama wa chama je?😆😆Jaribu uone.
Kwingine kote huwa wanavumilia,
Ila ukigusa tu maslahi ya Nchi utawaona wenyewe.
Alikuwa Chawa wa Magufuli, kwa Samia amepoa kama wengine waliopoa enzi za Magufuli. Kuna kipindi alikuja kusalimia hapa jukwaaniHivi huyu lizaboni yupo humu kweli? Maana sioni nyuzi zake kabisa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Amen RafikiAkhsante kwa kusahihisha kauli yangu
Unamchafuaje mchafu? Magufuli alijichafua mwenyewe kwa vitendo vyake vya KIHAYAWANI.Conspiracy theories. Mtanzania anatengeneza sinema nzima ya chuki kichwani mwake ili mradi tu alichafue jina la mwanasiasa fulani.
Kubenea alimwagiwa tindikali na timu ya Mzee mammvi kutokana na alivyokuwa anamuandika hovyo EL kwenye magazeti yake. Baada ya maongezi EL alamlipia matibabu India na hajawahi hata kufungua mashtaka. Kubenea ni malaya wa siasa siyo wa kumuaminiKubenea aliandika kwenye gazeti lake la Mwanahalisi ukurasa wa kwanza "BEN SAA NANE KUJITOKEZA" na alieleza kuwa anaonekana kwenye vijiwe vya kahawa lakini akina Mbowe hawakufuatilia habari hiyo hadi leo sasa Serikali itaonaje umuhimu wa kuifuatilia habari hiyo
Nashukuru umemjibu huyu Steven Joel Ntamusano , atuwekee yeye anachojuwa na siyo kusema tu conspiracy theory.Hadi unasema hivyo, inaonekana unaujua ukweli. Pinga andiko lake kwa kuuweka huo ukweli unaojua!
Jinai haiozi wala haizeeki. Ni suala la muda tu, yaweza kuwa 2025 au 2030. Kitakachomuokoa Makonda kupanda kwa Pilato ni kifo tuKama ndivyo kwanini MAKONDA hajapelekwa mbele ya sheria!?
Hii inaonesha wazi kwamba swali la mleta mada halitapata jibu kwa sababu muuaji (CCM)bado yuko kwenye hatamu.
Usalama wa Nchi maana yake Usalama wa CCM.Kwa Tanzania fanya jambo lolote ila sio linalohatarisha usalama wa nchi.
Ukiwa umevuta ganja eeh.Usalama wa Nchi maana yake Usalama wa CCM.
Bavicha mkuvuta ganja huwa mnashindwa kutofautisha kati ya chama na nchi.Kwenye usalama wa Nchi sawa. Ila usalama wa chama je?😆😆
Naona umeshamaliza msiba sasa unataka kumaliza majonzi kwangu.....Shindwa kuwa jina la Yesu.Bavicha mkuvuta ganja huwa mnashindwa kutofautisha kati ya chama na nchi.
Bu= BuchweshwaijaKijana Ben alikamatwa na watu "wasiojulikana" (hawa walikuwa ni kikundi cha kuteka na kuua chini ya Makonda) wakamtesa sana, wakamhamisha sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfikisha kwa Magufuli lakini alibaki na msimamo wake kuwa PhD ya Magufuli siyo halali. Hatimaye alikufa katika vyumba vya mateso na maiti yake ikapelekwa MNH kwa jina tofauti.
Nenda UDSM kwenye maktaba ya kitivo cha kemia, ukajaribu kuazima Thesis ya Magufuli, nakuhakikishia hutopewa. Imeondolewa, ni aibu.
Supervisor wa Thesis Magufuli, ambaye ni Profesa jina linaanza na "Bu", alipewa Uwenyekiti wa Bodi mbalimbali baada ya Magufuli kupata uRais. Na Mkuu wa Idara aliyekuwapo wakati huo alikuwa ni mlemavu wa miguu jina lake linaanza na "Prof Md" alipewa Ukatibu Mkuu wa Wizara
Kijana Ben alikamatwa na watu "wasiojulikana" (hawa walikuwa ni kikundi cha kuteka na kuua chini ya Makonda) wakamtesa sana, wakamhamisha sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfikisha kwa Magufuli lakini alibaki na msimamo wake kuwa PhD ya Magufuli siyo halali. Hatimaye alikufa katika vyumba vya mateso na maiti yake ikapelekwa MNH kwa jina tofauti.
Nenda UDSM kwenye maktaba ya kitivo cha kemia, ukajaribu kuazima Thesis ya Magufuli, nakuhakikishia hutopewa. Imeondolewa, ni aibu.
Supervisor wa Thesis Magufuli, ambaye ni Profesa jina linaanza na "Bu", alipewa Uwenyekiti wa Bodi mbalimbali baada ya Magufuli kupata uRais. Na Mkuu wa Idara aliyekuwapo wakati huo alikuwa ni mlemavu wa miguu jina lake linaanza na "Prof Md" alipewa Ukatibu Mkuu wa Wizara
Magufuli maisha yake yote alikuwa mwalimu na alijiendeleza baada ya kupata Masters na ushahidi wa picha siku anapata hiyo shahada upo mitandaoni akiwa amekaa pembeni ya Mama yake.
JPM alichukiwa kwa sababu ya misimamo yake ya kutotaka ujinga huko serikalini. Alikuwa na maadui wengi hivyo haikuwa ajabu kumtengenezea hizo habari zikiwa ni sehemu ya chuki.
Same here
Kiliniumiza sana sana, Kuna mtu ana ID Fulani sijui yohana sijui tumaini yupo humu alichowahi kumwambia na kikatokea
Ulichokiandika ni sawa kwa kadiri ya unavyotaka tupokee.Lakini,ni ajabu wewe hupendi wala hautaki kuambiwa usiyoyataka na wengine.Tatizo lilikuwa wapi muda ule?Ukiulizwa jina lako unaitwa nani,chimbuko la wazazi wako nk,si unatakiwa ujibu tu?Unadodoswa,mtu anapotea.Unapewa changamoto za uongozi,unahutubia umma.Baada ya dakika tano mtu aliyekupa changamoto ananyukwa risasi nyingi mwilini.Tukuweke kundi gani?Tukufikiriaje?Unatuondoleaje fikra hasi juu yako?.Hapo bado kuna ya akina mchungaji Mwingira na wanasiasa wengine waliowekwa under-pressure(blackmail) ili waunge juhudi zisizoeleweka.
Ungemfahamu vipi Ben wakati muda huo ulikuwa bado unatumwa na mama yako ukatwange karanga kwenye kinu cha jirani yenu.Huyu Ben alijichanganya, ndiyo maana hakuna mtu ambaye ana habari naye. Yeye badala la kufuatilia mambo yanayohusu ustawi wa moja kwa moja wa wananchi, yeye anaanza kupamba na mambo binafsi. Halafu mwenye mamlaka makubwa. Hilo liwe somo kwa vijana, never fight with your government and top leaders. Those are institutions. It's very likely to lose your everything.
Isitoshe kati ya Ben na JPM nani alikuwa smart upstairs. Huyo Ben wengine tulianza kumsikia baada ya kutoweka. Alikuwa hafahamiki.
Ngoja nikampekue yaani doh[emoji24][emoji24][emoji24]
Maumivu ni maumivu kwakweli