Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
JiweHakuna tukio limewahi kuniuma kama la Ben Saanane.
Mbaya zaidi nyakati zake za mwisho hapa JF tulitokea kuwa marafiki wakubwa, akifurahia sana ubuyu wangu kule celebrities forum.
Kupotea kwake kulinifanya nimchukie sana bwana yule! Ila, Mungu anajua zaidi.
Hatuwachagui Bali wanatuibia uchaguziWanaoua nao wanakufa.
Sielewi kwa nini tunachagua wasio na akili kuongoza?
Akhsante kwa kusahihisha kauli yanguHatuwachagui Bali wanatuibia uchaguzi
Duh!Kijana Ben alikamatwa na watu "wasiojulikana" (hawa walikuwa ni kikundi cha kuteka na kuua chini ya Makonda) wakamtesa sana, wakamhamisha sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfikisha kwa Magufuli lakini alibaki na msimamo wake kuwa PhD ya Magufuli siyo halali. Hatimaye alikufa katika vyumba vya mateso na maiti yake ikapelekwa MNH kwa jina tofauti.
Nenda UDSM kwenye maktaba ya kitivo cha kemia, ukajaribu kuazima Thesis ya Magufuli, nakuhakikishia hutopewa. Imeondolewa, ni aibu.
Supervisor wa Thesis Magufuli, ambaye ni Profesa jina linaanza na "Bu", alipewa Uwenyekiti wa Bodi mbalimbali baada ya Magufuli kupata uRais. Na Mkuu wa Idara aliyekuwapo wakati huo alikuwa ni mlemavu wa miguu jina lake linaanza na "Prof Md" alipewa Ukatibu Mkuu wa Wizara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba anajua na ana uhakika,wale wauaji wa serikali wana shabaha nzuri sana?Huua kabisa?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Inawezekana ikawa sawa,kosa ni kwenye utawala wake kuwepo kwa kundi la watu wasiojulikana na yeye kutokuzungumzia chochote kuhusu watu hao.Magufuli maisha yake yote alikuwa mwalimu na alijiendeleza baada ya kupata Masters na ushahidi wa picha siku anapata hiyo shahada upo mitandaoni akiwa amekaa pembeni ya Mama yake.
JPM alichukiwa kwa sababu ya misimamo yake ya kutotaka ujinga huko serikalini. Alikuwa na maadui wengi hivyo haikuwa ajabu kumtengenezea hizo habari zikiwa ni sehemu ya chuki.
Wewe Nyumba ndogo wa Bashite?Unajidanganya kazi kuchafua Tu watu
Jiwe=iblisAnd the list goes on;
Lissu assassination attempt.
Azory Gwanda abduction.
Hivi huyu lizaboni yupo humu kweli? Maana sioni nyuzi zake kabisaMiongoni mwa aliyeandika uzi wa kumtisha ni Lizaboni, uzi ule niliwahi kuusoma ila baadae ulifutwa hapa JF.
Kwa Tanzania fanya jambo lolote ila sio linalohatarisha usalama wa nchi.Hii Nchi watu hawajali, ni muhimu kuwa makini unapopambana na serikali ya CCM. Tukio la kuuliwa Imran Kombe mtu amekuwa Liutenant General wa JWTZ na DG wa TISS anakuja kuuliwa na askari kwa bahati mbaya? Watu waliouwawa huko Zanzibar kwenye uchaguzi wa 95. Hiyo miaka Nyerere, Kawawa, Butiku, Mwinyi, Mkapa et al wote walikuwa hai. Its enough evidence kuonesha CCM ni chama kipo tayari kumaliza watu kubaki madarakani. Siyo tu Ben, Gwanda uchaguzi wa 2025 naona watu wengine wakimalizwa na hiki chama ilikibaki madarakani.
Wewe jamaa utakuwa shoga MZOEFU weweWengi Sana wamepotezwa Tanzania!
Kelele za JF Ni Ben Saanane
Achani aende zake, liwe funzo kwa wengine!
Tanzania haikombolewi kwa kumdhihaki Rais,
Kuhoji uhalali wa Elimu yake!
PhD ngapi zinagawiwa burebure tu huko University?
Nyerere hakuikomboa hii Nchi kwa kukashfu Elimu ya Gavana wa Uingereza!
Ben Saanane alikuwa mpumbavu!
Tunawataka wapambanaji aina ya Mwambukusi!
RIP Ben Saanane!
Alichokitafuta kipumbavu amekipata!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni kutokujali tu kama ilivyo kwa wafrika wengineKama alivyosema msemaji wa serikali Mobhare Matinyi kwamba huwa wanasoma mijadala yote muhimu ya humu jamiiforum; basi tunaomba kama watanzania tupatiwe majibu ya swali hili maana sio jambo la kawaida.
Mods msifute huu uzi wala kuunganisha maana unaenda sambamba na kauli ya Mobhare Matinyi juu ya JAMIIFORUM.
Usalama wa nchi au usalama wa ccm?Kwa Tanzania fanya jambo lolote ila sio linalohatarisha usalama wa nchi.
Jaribu uone.Usalama wa nchi au usalama wa ccm?
JJJiwe limmekufa mnnkndu open,,shhetan
Inakuhusu nini? Shida ni zake, wewe unawashwa.JJJiwe limmekufa mnnkndu open,,shhetan