Ni sababu zipi zinazofanya kupotea kwa Ben Rabiu Saanane lionekane ni jambo dogo mbele ya vyombo vya dola?

Hajapotea bali katoweka
 
JPM alikuwa na akili na uthubutu, alikuwa pia hana uoga tofauti na marais wengi wa afrika ya tiktok, hawaaminiki hata kidogo.
 
Ni nani alikufanganya kuwa JPM alikuwa smart upstairs? Angekuwa smart asingekopi Thesis ya Dr Phillips
 
Kwa nn makonda umemtaja moja kwa moja,lkn kwa nn hawa wengine umeshindwa kuwataja?!, na kama wewe unajua Ben alikamatwa na nani na kwa kuongozwa na nani,na akapelekwa wapi ,kwa nn bado Ben mnamtafuta wakati kila kitu mnajua?!,
Bado unataka nikujibu nini hapo? Mbona umejieleza vizuri tu
 
Hakuna uthubutu zaidi ya msukumo wa kupata 10%. Matumizi yake ya fedha kwenye manunuzi ya ndege hayakufuata sheria ya manunuzi ya umma. Magu alikuwa CORRUPT to the core
Huna ushahidi wowote ule kwamba alitaka kupata asilimia kumi huko kwa wauzaji. Alifufua shirika lililokuwa limejifia miaka mingi kabla hajaingia ikulu angalau kwa hilo tumshukuru.

Sheria ya manunuzi ina umuhimu gani kulinganisha na kurudisha heshima ya Taifa iliyokuwa imepotea muda mrefu?.

Sheria ya manunuzi hailingani na namna TWIGA wetu anavyoendelea kuipaisha bendera ya Tanzania kila anapoonekana hewani huko nje.

Afadhali yeye corrupt to the core na kazi inaonekana, Afrika imejaa wapigaji wanaoingia na kuondoka ikulu bila ya kazi kuonekana.
 
Nadhani mkuu utakuwa ushafunga hii story
 
Mungu anajua, Mungu atalipa, hawana uchungu, haliwahusu!!!
 
JPM alikuwa na akili na uthubutu, alikuwa pia hana uoga tofauti na marais wengi wa afrika ya tiktok, hawaaminiki hata kidogo.

..Magufuli alikuwa muoga.

..ndio maana alikuwa ameufyata wakati wa Mkapa na Kikwete.

..angekuwa sio muoga asingesubiri awe na cheo au madaraka ndipo atetee rasilimali zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…