Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Maslahi ya CCM siyo nchi.Shida nyie hamjui nn maana ya masrahi ya nchi,hata wewe ungefanya hivyo,tena kwa kombe walichelewa sana kulingana na kiapo chake imran kombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maslahi ya CCM siyo nchi.Shida nyie hamjui nn maana ya masrahi ya nchi,hata wewe ungefanya hivyo,tena kwa kombe walichelewa sana kulingana na kiapo chake imran kombe.
Hajapotea bali katowekaHakuna tukio limewahi kuniuma kama la Ben Saanane.
Mbaya zaidi nyakati zake za mwisho hapa JF tulitokea kuwa marafiki wakubwa, akifurahia sana ubuyu wangu kule celebrities forum.
Kupotea kwake kulinifanya nimchukie sana bwana yule! Ila, Mungu anajua zaidi.
Chuo kikuu Mlimani aliposomea JPM.PhD Thesis yake inapatikana wapi??
JPM alikuwa na akili na uthubutu, alikuwa pia hana uoga tofauti na marais wengi wa afrika ya tiktok, hawaaminiki hata kidogo.Kwa kichwa kile kupata PhD ilikuwa ni kitu rahisi sana. The guy was so smart, mnyongenlkn haki yake mpeni. Alikuwa na analytical skills ya hali ya juu.
Huyu Ben alikosa utambuzi, alikubali kutumika na matokeo yakawa hivyo.
Pia ukiangalia hata uwezo wake wa kufikiri unatia mashaka, maana hata elimu yake ni ya kuunga unga kama ilivyo kwa wanahabari walio wengi.
Vitendo vya kihayawani vilivyotuletea SGR na ndege 14. Alikuwa na uthubutu wa hali ya juu akiamini katika uwezo wa akili yake.Unamchafuaje mchafu? Magufuli alijichafua mwenyewe kwa vitendo vyake vya KIHAYAWANI.
Wewe mkali wa kufungua code, heko sana. Na je unajuwa andiko la maganda ya korosho aliloandika kama Thesis yake alikopi kwa nani?Bu= Buchweshwaija
Md= Mdoe
Ni nani alikufanganya kuwa JPM alikuwa smart upstairs? Angekuwa smart asingekopi Thesis ya Dr PhillipsHuyu Ben alijichanganya, ndiyo maana hakuna mtu ambaye ana habari naye. Yeye badala la kufuatilia mambo yanayohusu ustawi wa moja kwa moja wa wananchi, yeye anaanza kupamba na mambo binafsi. Halafu mwenye mamlaka makubwa. Hilo liwe somo kwa vijana, never fight with your government and top leaders. Those are institutions. It's very likely to lose your everything.
Isitoshe kati ya Ben na JPM nani alikuwa smart upstairs. Huyo Ben wengine tulianza kumsikia baada ya kutoweka. Alikuwa hafahamiki.
Bado unataka nikujibu nini hapo? Mbona umejieleza vizuri tuKwa nn makonda umemtaja moja kwa moja,lkn kwa nn hawa wengine umeshindwa kuwataja?!, na kama wewe unajua Ben alikamatwa na nani na kwa kuongozwa na nani,na akapelekwa wapi ,kwa nn bado Ben mnamtafuta wakati kila kitu mnajua?!,
Hakuna uthubutu zaidi ya msukumo wa kupata 10%. Matumizi yake ya fedha kwenye manunuzi ya ndege hayakufuata sheria ya manunuzi ya umma. Magu alikuwa CORRUPT to the coreVitendo vya kihayawani vilivyotuletea SGR na ndege 14. Alikuwa na uthubutu wa hali ya juu akiamini katika uwezo wa akili yake.
Huna ushahidi wowote ule kwamba alitaka kupata asilimia kumi huko kwa wauzaji. Alifufua shirika lililokuwa limejifia miaka mingi kabla hajaingia ikulu angalau kwa hilo tumshukuru.Hakuna uthubutu zaidi ya msukumo wa kupata 10%. Matumizi yake ya fedha kwenye manunuzi ya ndege hayakufuata sheria ya manunuzi ya umma. Magu alikuwa CORRUPT to the core
Nadhani mkuu utakuwa ushafunga hii storyKijana Ben alikamatwa na watu "wasiojulikana" (hawa walikuwa ni kikundi cha kuteka na kuua chini ya Makonda) wakamtesa sana, wakamhamisha sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfikisha kwa Magufuli lakini alibaki na msimamo wake kuwa PhD ya Magufuli siyo halali. Hatimaye alikufa katika vyumba vya mateso na maiti yake ikapelekwa MNH kwa jina tofauti.
Nenda UDSM kwenye maktaba ya kitivo cha kemia, ukajaribu kuazima Thesis ya Magufuli, nakuhakikishia hutopewa. Imeondolewa, ni aibu.
Supervisor wa Thesis Magufuli, ambaye ni Profesa jina linaanza na "Bu", alipewa Uwenyekiti wa Bodi mbalimbali baada ya Magufuli kupata uRais. Na Mkuu wa Idara aliyekuwapo wakati huo alikuwa ni mlemavu wa miguu jina lake linaanza na "Prof Md" alipewa Ukatibu Mkuu wa Wizara
Ni nani alikufanganya kuwa JPM alikuwa smart upstairs? Angekuwa smart asingekopi Thesis ya Dr Phillips
Damu ya Ben haitamuacha Makonda salamaHakuna tukio limewahi kuniuma kama la Ben Saanane.
Mbaya zaidi nyakati zake za mwisho hapa JF tulitokea kuwa marafiki wakubwa, akifurahia sana ubuyu wangu kule celebrities forum.
Kupotea kwake kulinifanya nimchukie sana bwana yule! Ila, Mungu anajua zaidi.
ExactlyNadhani mkuu utakuwa ushafunga hii story
Nenda kwenye hiyo taasisi leo kaombe wakupe hiyo Thesis kwa ajili ya rejea, halafu urudi hapa utupe jibuTukuamini wewe au tuiamini taasisi iliyomtunuku PhD!?
Mungu anajua, Mungu atalipa, hawana uchungu, haliwahusu!!!Kama alivyosema msemaji wa serikali Mobhare Matinyi kwamba huwa wanasoma mijadala yote muhimu ya humu jamiiforum; basi tunaomba kama watanzania tupatiwe majibu ya swali hili maana sio jambo la kawaida.
Mods msifute huu uzi wala kuunganisha maana unaenda sambamba na kauli ya Mobhare Matinyi juu ya JAMIIFORUM.
Nenda kwenye hiyo taasisi leo kaombe wakupe hiyo Thesis kwa ajili ya rejea, halafu urudi hapa utupe jibu
JPM alikuwa na akili na uthubutu, alikuwa pia hana uoga tofauti na marais wengi wa afrika ya tiktok, hawaaminiki hata kidogo.