Ni sababu zipi zinazofanya kupotea kwa Ben Rabiu Saanane lionekane ni jambo dogo mbele ya vyombo vya dola?

Chuo kiko corrupted!? Huh, dat iz very serious allegation. Lkn una haki ya kutoa hisia zako. Maana miaka yote hatujawahi sikia kadhia hizo. Mimi nimesoma hapo zaidi ya miaka 25 iliyopita lkn sikuwahi sikia hicho kitu. Pia regulator (TCU) hawajawahi tilia shaka uaminifu wa chuo.
Unashangaa UDSM kuwa corrupted? Nani kakuambia kuwa lecturers wa UDSM ni watakatifu? Kama umesoma pale kweli je four years ago hukuwahi kusikia malalamiko ya Dr Vicensia Shule juu ya "marks kwa ngono" kwa wanafunzi wa kike?

Je kimataifa, hujawahi kusikia scandal la London School of Economics na mtoto wa Gadaffi,
 
Chuo kiko corrupted!? Huh, dat iz very serious allegation. Lkn una haki ya kutoa hisia zako. Maana miaka yote hatujawahi sikia kadhia hizo. Mimi nimesoma hapo zaidi ya miaka 25 iliyopita lkn sikuwahi sikia hicho kitu. Pia regulator (TCU) hawajawahi tilia shaka uaminifu wa chuo.
Unakiona UDSM kama chuo chenye maadili sana ?? Haya soma thread hii ina malalamiko kutoka kwa lecturer mwenzao.

Copy unayo tuione?
Prospectus ya UDSM ya mwaka 2006 kifungu 2.7.7 kilisema mwanafunzi wa full time wa PhD minimum muda wa kumaliza ni miaka 3 na mwanafunzi wa kutoka kazini ni miaka 5. Ilikuwaje Magufuli wa parr time aanze 2006 na kuhitimu 2009? Hakuwahi kujibu hilo

Lile chapisho la Thesis alikopi kutoka kwa Dr J Y Philip ambaye alikuwa anafanya sandwich program linaitwa "The potential of anarcadic acid self assembled monopolymers from cashewnut shell liquid as corrosion protection coating"

Supervisor wake alikuwa Prof Bucheschwaija ambaye alimsimamia Dr J Y Phillip as well.

Mwaka 2016 alipopata uRais wa Tanzania akampa Prof Bucheschwaija uwenyekiti wa Bodi ya TIB kama kumpoza kwa kwa kazi aliyomlinda kwenye fake PhD.
 
Unashngaa UDSM kuwa corrupted? Nani kakuambia kuwa lecturers wa UDSM ni watakatifu? Kama umesoma pale kweli je four years ago hukuwahi kusikia malalamiko ya Dr Vicensia Shule juu ya "marks kwa ngono" kwa wanafunzi wa kike?

Je kimataifa, hujawahi kusikia scandal la London School of Economics na mtoto wa Gadaffi,

Mii nimesoma pale zaidi ya miaka 25 iliyopita.
Hayo unayosema ni ya kawaida sana kwenye taasisi za watu wengi. Hata mahala pa kazi ambapo siyo pa kutoa elimu, hayo mambo yapo. Rushwa ya ngono ipo mahali pengi tu.
Hata katika katika udahili, mapungufu hutokea pia. Nakumbuka kuna kadhia moja ilimkumba Dr. Dre kwamba binti yake aliingia chuo kikuu kimagumashi.
 
Kama umekubali hiyo sasa tufunge mjadala
 
Ni FAKE, nenda kamfufue

Sasa wewe siyo mamlaka ya kutangaza kama mtu ana shahada feki au siyo feki. Kwa kukosa uelewa wa vitu vya kawaida kama hivi ndiyo maana mkamuongoza Ben aanze kupambana na mambo ambayo si uwezo wake lakini pia hana mamlaka nayo. Matokeo yake, nadhani umeyashuhudia.
 
Labda tuwaulize Chadema katika maridhiano yao na CCM swala la Ben Saanane, Mawazo na wengine waliouawa kinyama au kupotea lipo, Kama lipo mwafaka wake ni upi au tuamini maneno ya wakili Mwabukusi wanasiasa wa upinzani wanawaza vyeo na ruzuku.
 
Bado unazunguka tu.Unajichosha.Umeeleza kuhusu yeye kujiendeleza kielimu,sawa.Na ni hapo palipo leta shida.Angeonesha uhalali wa alichoulizwa halafu muulizaji (umma)aridhike kulikuwa na shida gani?Hofu na makasiriko ya nini?Alilewa mamlaka,akasahau maadili ya dini yake kuhusu kusamehe 7×70,uvumilivu,upole na kiasi kisicho na kipimo?Angeosha mikono yake na kujiweka kando tu.
Hayo maadili ya dini yake yanawahusu hao hao wanaohoji elimu yake. Ni rahisi sana kushambulia kiongozi lakini ni vigumu sana kujiweka kwenye nafasi yake akiwa anatekeleza majukumu mazito ya kitaifa.

Kuna kipindi ni cha kuiachia demokrasia ikafuata mkondo wake na kuna kipindi cha kuwanyoosha hao hao wanaokukosea adabu ukiwa na cheo cha urais wa nchi.
 
Sasa wewe siyo mamlaka ya kutangaza kama mtu ana shahada feki au siyo feki. Kwa kukosa uelewa wa vitu vya kawaida kama hivi ndiyo maana mkamuongoza Ben aanze kupambana na mambo ambayo si uwezo wake lakini pia hana mamlaka nayo. Matokeo yake, nadhani umeyashuhudia.
Matokeo yake ni hayo sasa. Angekuwa na PhD sahihi angetoa ushahidi kama alivyofanya kwenye zoezi la RC Dar la kuhakiki umiliki wa bunduki. Kwa kuwa alikuwa hana vigezo vya kuonyesha uhalali akaone amkamate na kumuua Ben Saanane.

Ila Mungu siyo raia wa Chato, akamuonyesha kazi Magu 17/ 03/ 21
 
Hakuna tukio limewahi kuniuma kama la Ben Saanane.
Mbaya zaidi nyakati zake za mwisho hapa JF tulitokea kuwa marafiki wakubwa, akifurahia sana ubuyu wangu kule celebrities forum.

Kupotea kwake kulinifanya nimchukie sana bwana yule! Ila, Mungu anajua zaidi.
Ongeza kuchukia kwa mauaji ya Dr Mvungi na kuteswa kwa Dr Ulimboka
 
Bado unazunguka tu.Unajichosha.Umeeleza kuhusu yeye kujiendeleza kielimu,sawa.Na ni hapo palipo leta shida.Angeonesha uhalali wa alichoulizwa halafu muulizaji (umma)aridhike kulikuwa na shida gani?Hofu na makasiriko ya nini?Alilewa mamlaka,akasahau maadili ya dini yake kuhusu kusamehe 7×70,uvumilivu,upole na kiasi kisicho na kipimo?Angeosha mikono yake na kujiweka kando tu.
Mnashindwa kuwa na ushahidi wa kupotea Ben Saanane na uhusika wa magufuli mnakuja na theory tu, Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kina integrity katika elimu. Huwezi kupewa merit bila kufanyia kazi. Mtu auliwe kwa sababu tu kasema hakuna thesis yake! Mtu akisema "kama mnabisha" kachunguzeni, kuna watanzania kwa ufinyu wa kufikiri ukishawaambia hivyo basi wanatulia, hawachunguzi wala kufuatilia, ndo wameshaamini hao!
 
Familia ya Saanane iende kumuona Samia kuomba uchunguzi wa mtoto wao ufanywe.

Watafute kika upenyo wafikishe kilio chao jwa Samia
Unafikiri familia ya Membe hawataki kuomba ufanyike uchunguzi?
Ni kwamba wanatulizwa yaishe.
 
Inawezekana ikawa sawa,kosa ni kwenye utawala wake kuwepo kwa kundi la watu wasiojulikana na yeye kutokuzungumzia chochote kuhusu watu hao.
Na waliompoteza Imran Kombe? Je waliomtesa dr ulimboka? Mkizungumzia haya mambo msichague awamu, tajeni kila kitu
 
Matokeo yake ni hayo sasa. Angekuwa na PhD sahihi angetoa ushahidi kama alivyofanya kwenye zoezi la RC Dar la kuhakiki umiliki wa bunduki. Kwa kuwa alikuwa hana vigezo vya kuonyesha uhalali akaone amkamate na kumuua Ben Saanane.

Ila Mungu siyo raia wa Chato, akamuonyesha kazi Magu 17/ 03/ 21

Kwanza Mungu hahusiki na mateso/mabaya yanayowapata watu. Pia Ben angekuwa na utambuzi na kutumia uwezo wake wa kufikiri vizuri, asingefanya alivyofanya na matokeo yangekuwa tofauti, asingekuwa huko aliko sasa. Hivyo hata vijana ambao unawalea, washauri na kuzoeza nguvu zao za kufikiri ili wajue matokeo ya maamuzi wanayoyafanya. Watakuwa rasilimali kwa jamii/nchi na si mzigo. Ben alikosa hivi vyote, lakini hatumlaumu, pengine ni kwa sababu hakupata fursa ya kushauriwa/kulelewa vizuri. Akawa anakutana na watu wanaomjaza upepo kama puto bila kujua litapasuka. Matokeo ameacha familia yake ikihangaika.
Isitoshe Ben hakuwa na mamlaka ya kuhoji shahada ya mhitimu. Pia ukiangalia Ben alikuwa akihangaika na degree hiyo kwa nia yake "ovu". Lengo lake lilikuwa ni kutaka kumtweza mhitimu ambaye alikuwa kiongozi wa nchi. Ben hata CV yake hamna anayeijua. Alikuwa ni mtu mwenye haiba ya kawaida sana, hivi kwamba aweze kupambana na vitu vizito kwake. Sijui kama hata aliwahi kuhitimu elimu ya chuo kikuu ya (mzunguko wa pili)(masters).
 
Tatizo unahamisha goli. Hatuongelei whether Ben Saanane alistahili kuihoji PhD ya Magufuli. Bali tunasema kuwa Ben Saanane alipotezwa kwa sababu alihoji PhD ya Magufuli. Na Magufuli kwa kujua kuwa PhD ni FEKI ndiyo akaamuru akina Makonda wampoteze.

Huo ushauri wako unaoutoa hapa hauna nafasi, ni OFF POINT
 
Mnashindwa kuwa na ushahidi wa kupotea Ben Saanane na uhusika wa magufuli mnakuja na theory tu, Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kina integrity katika elimu. Huwezi kupewa merit bila kufanyia kazi. Mtu auliwe kwa sababu tu kasema hakuna thesis yake! Mtu akisema "kama mnabisha" kachunguzeni, kuna watanzania kwa ufinyu wa kufikiri ukishawaambia hivyo basi wanatulia, hawachunguzi wala kufuatilia, ndo wameshaamini hao!
Integrity labda kwenye degree waliyokupa wewe lakini siyo ya Magufuli. Ila nashangaa kwa nini uumie wewe na siyo UDSM wanaotajwa. Kwani wenyewe walisema nini kwenye madai haya?
 
Wewe kilaza kweli. Hilo swali ndo inatakiwa uulizwe wewe. Anayetakiwa kuleta ushahidi ni yule aliyetoa mashtaka. Kwa vile ben hayupo, tuletee wewe kibaraka wa gang lenu, ushahidi kwamba hakuna thesis. Siyo utoe shutuma then eti jpm ajitetee, leta ushahidi ndo tutajua ni ukweli au matango pori
 
Back
Top Bottom