Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Unashangaa UDSM kuwa corrupted? Nani kakuambia kuwa lecturers wa UDSM ni watakatifu? Kama umesoma pale kweli je four years ago hukuwahi kusikia malalamiko ya Dr Vicensia Shule juu ya "marks kwa ngono" kwa wanafunzi wa kike?Chuo kiko corrupted!? Huh, dat iz very serious allegation. Lkn una haki ya kutoa hisia zako. Maana miaka yote hatujawahi sikia kadhia hizo. Mimi nimesoma hapo zaidi ya miaka 25 iliyopita lkn sikuwahi sikia hicho kitu. Pia regulator (TCU) hawajawahi tilia shaka uaminifu wa chuo.
Je kimataifa, hujawahi kusikia scandal la London School of Economics na mtoto wa Gadaffi,