Ni sahihi binadamu wa karne hii kuishi hivi?

Namna wanavyokula ni lahisi kuambukizana magonjwa ikitokea mmoja wao kaugua.Tungekuwa na serikali inayojitambua ingekuwa imekomesha hizo Mila za kipuuzi.Hapo hakuna Cha kuenzi Mila ni upuuzi tu.
Kuna Culture zinatakiwa zilindwe mzee kuna watu wanaitwa sentenel ni noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…