Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 653
- 1,698
- Thread starter
-
- #21
Sijaelewa mkuu.kama sio kampuni ni sahihi kabisa ispokua kampuni.
Picha halali yako ni kwenye Raman yako ya nyumba na baadae ukikabidhiwa nyumba yako bas picha na video na zako pia
Habari?
Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana.
Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya.
Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga nyumba yako picha na kuianika mitandaoni.
Wengine ni fundi nguo. Unatafuta mshono wako wa nguo yako ya siku yako muhimu mfano harusi, kisha unampa kazi. Akimaliza anaivalisha kwenye mdoli anaiweka kama matangazo na kuituma mitandaoni.
Je ni sahihi nikulipe pesa ufanye kazi yangu kisha utumie kujitangaza bila makubaliano na mimi?
So sahihi kwani mkataba wenu ulikuwa yeye afanye kazi na wewe umlipe alichofanya ni kinyume cha Sheria. Mkataba sio lazima uwe wa maandishi.Sasa umenijibu vizuri, samahani kwa lugha kali.
Mimi jana nimeenda kusuka. Amenisuka nimependeza na nimemlipa hela yake. Baadaye napita instagram nakuta kumbe mimi bila kujua amenichukua video amepost. Nikamwambia ashushe post au anirudishie hela yangu ili nijue mimi ni modo wake wa matangazo.
Wiki kadhaa nyuma mpiga picha alikuja nikafanya photo shoot za gender reveal za my unborn baby. Na lengo ni niziweke baada ya kujifungua. na kila picha niliilipia.
Sasa na yeye akazipost kwenye page yake. Bila ruhusa yangu.
Sasa ndio ninawaza ni sahihi au sio sahihi? au ni mimi nina matatizo.
Mpeleke mahakamani ,mahakamani ndio inatoa ufafanuzi wa makosa cc raia hatuna umahiri wa maswala ya kijeshiHabari?
Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana.
Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya.
Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga nyumba yako picha na kuianika mitandaoni.
Wengine ni fundi nguo. Unatafuta mshono wako wa nguo yako ya siku yako muhimu mfano harusi, kisha unampa kazi. Akimaliza anaivalisha kwenye mdoli anaiweka kama matangazo na kuituma mitandaoni.
Je ni sahihi nikulipe pesa ufanye kazi yangu kisha utumie kujitangaza bila makubaliano na mimi?
Ni sahihi ila unatakiwa uwe unawaambia mapema kwamba naomba Kaz zangu zisiende online, kwa mfano wewe mwenyewe ulivyokuq unatafuta photographer nadhan uliingia mitandaoni kuangalia ubora wa wapiga pichaSasa umenijibu vizuri, samahani kwa lugha kali.
Mimi jana nimeenda kusuka. Amenisuka nimependeza na nimemlipa hela yake. Baadaye napita instagram nakuta kumbe mimi bila kujua amenichukua video amepost. Nikamwambia ashushe post au anirudishie hela yangu ili nijue mimi ni modo wake wa matangazo.
Wiki kadhaa nyuma mpiga picha alikuja nikafanya photo shoot za gender reveal za my unborn baby. Na lengo ni niziweke baada ya kujifungua. na kila picha niliilipia.
Sasa na yeye akazipost kwenye page yake. Bila ruhusa yangu.
Sasa ndio ninawaza ni sahihi au sio sahihi? au ni mimi nina matatizo.
Ukienda saloon kunyoa mkuu, akimaliza anaweza kukupiga picha kwa na kuitumia kujitangaza pia?Je,isipokuwa ni tu niione kesho,unadhani pesa unayotoa ni sawa na kazi alokufanyia?
Maisha ya kiafrika ni kubangaiza,acha wajitafutie
Huu mfano umenichekesha sanaš¤£Hapo haifai yaani ni km mm nimenunua malaya nikamzagamua then nikamlipa.... Halafu baadae aje aweke mtandaon kujibrand mizagamuo anayotoa... Sio vzr coz yeye anapata faida wakati jamii itaniona mm km mcheza x
Sahihi kabisa. Niliangalia ubora wake lakini ilibidi anishirikishe kwamba naweza kutumia picha yako kwa matangazo?? mimi nimpe greenlight na sio mimi ndio nianze kumwambia asitumie picha zangu.Ni sahihi ila unatakiwa uwe unawaambia mapema kwamba naomba Kaz zangu zisiende online, kwa mfano wewe mwenyewe ulivyokuq unatafuta photographer nadhan uliingia mitandaoni kuangalia ubora wa wapiga picha
Apo kwenye kutumia picha yako bila idhini yako aliyumba pakubwq mno , ila kama picha ya nyumba au furniture anything ambayo haita reveal location yako au faragha io ukikataza utakua mkoloni mkuuSahihi kabisa. Niliangalia ubora wake lakini ilibidi anishirikishe kwamba naweza kutumia picha yako kwa matangazo?? mimi nimpe greenlight na sio mimi ndio nianze kumwambia asitumie picha zangu.
Pia angetaka kutumia picha zangu ilibidi nilipe kidogo. Ukiona picha za watu maarufu zinatumika ujue hao wapiga picha wanawapiga picha bure kwa lengo la kujitangaza. Hawalipwi hata shilingi.
Ukiona watu wa hotels wanasema mtu fulani kalala hotel kwetu ujue huyo mtu alipewa malazi bure kwa malipo ya kutangaza hiyo hoteli.
sasa nikulipe pesa yangu na bado unianike mitandaoni na hapo mimi mwejyewe hata kuziweka mitandaoni bado?
Hii ndio ile unakuta mtaa mzima mna vitu vimefanana hadi unajiuliza hizi ni nyumba za shirika au?Huo mchoro / muundo umeusajili au na wewe umeuona mahali ukaupiga picha?
Mafundi wengi wanapiga picha kazi zao kwa sababu ni ubunifu wao wenyewe.
Kwangu mimi ni sahihi maana hapa nipo naangalia viti vya dining kwenye mtandao bila hata kulipia waliotengeneza...Kwahiyo ni sahihi mkuu?
š³aiseeAcha unoko kwani we celebrity hebu mpe riziki maskini mwenzio
Ni Sheillah SheillahWe ni me au ke?
sawa mkuu lakini kumbuka wengi wanaoweka mitandaoni ni design zao. Wamedesign wao. wao ni madiaigner.Kwangu mimi ni sahihi maana hapa nipo naangalia viti vya dining kwenye mtandao bila hata kulipia waliotengeneza...