Ni sahihi fundi kupiga picha kazi aliyopewa aifanye, na kuitumia kujitangaza bila makubaliano na mwenye kazi?

Habari?

Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana.

Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya.

Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga nyumba yako picha na kuianika mitandaoni.

Wengine ni fundi nguo. Unatafuta mshono wako wa nguo yako ya siku yako muhimu mfano harusi, kisha unampa kazi. Akimaliza anaivalisha kwenye mdoli anaiweka kama matangazo na kuituma mitandaoni.

Je ni sahihi nikulipe pesa ufanye kazi yangu kisha utumie kujitangaza bila makubaliano na mimi?
IMG_20230225_165915.jpg
 
Je,isipokuwa ni tu niione kesho,unadhani pesa unayotoa ni sawa na kazi alokufanyia?
Maisha ya kiafrika ni kubangaiza,acha wajitafutie! Unadhani wanakuja kwako kwa sababu wanajiweza? We mbona unawatumia hao,kilikushinda nini kuleta kampuni kubwa isiyo na haja na hizo picha!?
 
Sasa umenijibu vizuri, samahani kwa lugha kali.

Mimi jana nimeenda kusuka. Amenisuka nimependeza na nimemlipa hela yake. Baadaye napita instagram nakuta kumbe mimi bila kujua amenichukua video amepost. Nikamwambia ashushe post au anirudishie hela yangu ili nijue mimi ni modo wake wa matangazo.

Wiki kadhaa nyuma mpiga picha alikuja nikafanya photo shoot za gender reveal za my unborn baby. Na lengo ni niziweke baada ya kujifungua. na kila picha niliilipia.
Sasa na yeye akazipost kwenye page yake. Bila ruhusa yangu.

Sasa ndio ninawaza ni sahihi au sio sahihi? au ni mimi nina matatizo.
So sahihi kwani mkataba wenu ulikuwa yeye afanye kazi na wewe umlipe alichofanya ni kinyume cha Sheria. Mkataba sio lazima uwe wa maandishi.
 
Habari?

Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana.

Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya.

Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga nyumba yako picha na kuianika mitandaoni.

Wengine ni fundi nguo. Unatafuta mshono wako wa nguo yako ya siku yako muhimu mfano harusi, kisha unampa kazi. Akimaliza anaivalisha kwenye mdoli anaiweka kama matangazo na kuituma mitandaoni.

Je ni sahihi nikulipe pesa ufanye kazi yangu kisha utumie kujitangaza bila makubaliano na mimi?
Mpeleke mahakamani ,mahakamani ndio inatoa ufafanuzi wa makosa cc raia hatuna umahiri wa maswala ya kijeshi
 
Sasa umenijibu vizuri, samahani kwa lugha kali.

Mimi jana nimeenda kusuka. Amenisuka nimependeza na nimemlipa hela yake. Baadaye napita instagram nakuta kumbe mimi bila kujua amenichukua video amepost. Nikamwambia ashushe post au anirudishie hela yangu ili nijue mimi ni modo wake wa matangazo.

Wiki kadhaa nyuma mpiga picha alikuja nikafanya photo shoot za gender reveal za my unborn baby. Na lengo ni niziweke baada ya kujifungua. na kila picha niliilipia.
Sasa na yeye akazipost kwenye page yake. Bila ruhusa yangu.

Sasa ndio ninawaza ni sahihi au sio sahihi? au ni mimi nina matatizo.
Ni sahihi ila unatakiwa uwe unawaambia mapema kwamba naomba Kaz zangu zisiende online, kwa mfano wewe mwenyewe ulivyokuq unatafuta photographer nadhan uliingia mitandaoni kuangalia ubora wa wapiga picha
 
Hapo haifai yaani ni km mm nimenunua malaya nikamzagamua then nikamlipa.... Halafu baadae aje aweke mtandaon kujibrand mizagamuo anayotoa... Sio vzr coz yeye anapata faida wakati jamii itaniona mm km mcheza x
Huu mfano umenichekesha sana🤣
 
Ni sahihi ila unatakiwa uwe unawaambia mapema kwamba naomba Kaz zangu zisiende online, kwa mfano wewe mwenyewe ulivyokuq unatafuta photographer nadhan uliingia mitandaoni kuangalia ubora wa wapiga picha
Sahihi kabisa. Niliangalia ubora wake lakini ilibidi anishirikishe kwamba naweza kutumia picha yako kwa matangazo?? mimi nimpe greenlight na sio mimi ndio nianze kumwambia asitumie picha zangu.

Pia angetaka kutumia picha zangu ilibidi nilipe kidogo. Ukiona picha za watu maarufu zinatumika ujue hao wapiga picha wanawapiga picha bure kwa lengo la kujitangaza. Hawalipwi hata shilingi.

Ukiona watu wa hotels wanasema mtu fulani kalala hotel kwetu ujue huyo mtu alipewa malazi bure kwa malipo ya kutangaza hiyo hoteli.

sasa nikulipe pesa yangu na bado unianike mitandaoni na hapo mimi mwejyewe hata kuziweka mitandaoni bado?
 
Apo kwenye kutumia picha yako bila idhini yako aliyumba pakubwq mno , ila kama picha ya nyumba au furniture anything ambayo haita reveal location yako au faragha io ukikataza utakua mkoloni mkuu
 
Huo mchoro / muundo umeusajili au na wewe umeuona mahali ukaupiga picha?

Mafundi wengi wanapiga picha kazi zao kwa sababu ni ubunifu wao wenyewe.
Hii ndio ile unakuta mtaa mzima mna vitu vimefanana hadi unajiuliza hizi ni nyumba za shirika au?
 
Mwaka jana Diamond aliingia kwenye mgogoro na muuza nguo chidi.

kisa diamond alinunua nguo kwq chid na akalipa hela kama inavyotakiwa ila kila diamond akivaa hizo nguo akipiga picha , jamaa muuza nguo anazichukua anapost kwake anaandika "amevalishwa na mimi".

Diamond akamwambia kama ulitaka kunitumia kupata wateja nisingelipia hizo nguo ilibidi unipe bure ila kwakuwa nimenunua hauna haki ya kutangazia watu nimenunua kwako.

mimi niliona ana point pia. Privancy ni muhimu
 
Kwangu mimi ni sahihi maana hapa nipo naangalia viti vya dining kwenye mtandao bila hata kulipia waliotengeneza...
sawa mkuu lakini kumbuka wengi wanaoweka mitandaoni ni design zao. Wamedesign wao. wao ni madiaigner.
na lengo ni kutengeneza hela.

sasa ngoja siku wewe upate design yako kwa lengo la kuwa unique umpe fundi kazi kisha akiipatia aanze kuwajengea hiyo design mtaa mzima ndio utajua haujui🤣
 
Back
Top Bottom