#COVID19 Ni sahihi Humphrey Polepole kuonesha Msimamo wake wa kutochanjwa?

Rais Samia awashughulikie hao kenge haraka ni wahujumu wa wazi kwa jitihada zake,awaweke pembeni kabisa na utawala wake na wala haiwezi kuwa nongwa maana hata Magufuli alifanya hivyo kwa baadhi ya wana CCM wenzake mfano ni Membe.
Hawezi kuwaweka mbali naye kwa sababu ana akili mno kuliko wewe.
 
Chanjo ni hiyari sawa wewe? Elewa statement!
 
Acha upimbi wewe chanjo ni hiyari nenda kachanje wabongo mnakua na kaupumbavu ka kujipendekeza kinafki sasa unakosoa maoni ya mtu we nani? Nenda kachanje mmeo we unataka tukachanje wote ili iweje.
 
Wafumbe midomo yao basi... Kwani tumewaomba waongee... Nonsense.

Huchanji piga kimya. Kelele za nini!??
Wanapiga kelele kwa sababu wanasababishwa kupiga kelele na watu wanaowahoji hoji kuhusiana na misimamo yao ya chanjo.
 
Ni hakika kabisa usemacho Kuna vitu huwa kama conspiracy theories lakini baadaye vina kuwa kweli naiona vita ya kati ya waliochanjwa na wasiochanjwa kuja kuwa wazi maana sioni kwanini iwe hivyo ikiwa chanjo ni hiari ni wazi tunapenda kuwa taifa la wanafiki na wazandiki tunapoona watu wasiokuwa pamoja nasi ki maono au kiimani ni maadui basi tutajikuta ni watu tusiokuwa na misimamo bali watu wa kupelekwa pelekwa pasipo kuhoji kwa nini, hata umeme ili uwake una chanya na hasi ndivyo ilivyo kwenye maisha pia.
 
Kama anaheshimu hiyari asingekuwa sehemu ya ule uchaguzi wa kishenzi chini ya dhalimu, maana watu kuchagua mgombea wa chama fulani ilikuwa ni hiyari yao.
Wewe hebujaribu kumuona dactari naona kama unamsongo wa mawazo.

Serikali imesema chanjo ni hiyari then kila mmoja anahaki ya kusema kwanini anachanja na kwa nini hachanji sasa mambo ya vyama yanahusika nini hapo.
 
Pumbavu Sana wewe mwendawazimu,, elewa kamati ilipendekeza kuwa 'mtu anayo haki ya kuchagua kuchanja au kutokuchanja (la)' Kwahiyo mtu akisema hazarani kuwa nimechanja mbona hamwone nongwa? Je kwanin mtu akitangaza kuwa stachanjwa mnamwonea nongwa? Acheni Mambo kila mtu anayo haki ya kutoa maoni
 
Kwangu mimi, anayetangaza msimamo wake hadharani hana tatizo, IWE ANACHANJA AU HACHANJI..!! KUCHANJA NI HIARI KAMA ILIVYO KUTANGAZA HADHARANI..

BTW, kwanini inadhaniwa wanaotangaza kwamba hawachanji wanakosea na wale wanaotangaza kuwa wanachaji tena na kupiga picha wao hawakosei..? WHY?
 
Yani waafrika kama misukule vile..hamjisomei mpo mpo na arguments za kipumbavu, arguments zenu bila data za kutosha...Yani wajinga tu wengi wenu...chanjo hiyo ina walakini tumieni akili someni, fuatilieni. Kama una afya njema na ni kijana tafuta hela kula vizuri huwezi pata covid na ukipata u'll be fine...hizo chanjo zimekuwa authorized for emergence use, hamna mtu anaweza kukwambia kwa asilimia 100 madhara ya chanjo, hayupo in the next 5 years.
 
Yupo sahihi si ndio demokrasia yenyewe ama hujui maana ya demokrasia......
acha watu watoe maoni yao bila bugudha
 
Huyu alipewa viti maalum, bado ana demka!

Ngoja avuliwe huo ubunge, kama atafungua mdomo
kisa cha kumvua ubunge nini
CCM haina culture hiyo.

Zipo nyadhifa fulan ambazo kutofautiana na rais kimisimamo na kunaweza kumgharimu mtu kama nafas ya uspika.

Faida ya kuwa mbunge unakuwa huru.
si umwona gambo, nape, msukuma, lusinde nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…