Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Hivi huyu nae bado anawasumbua? Naona sasa kaamua kufufua kale kataasisi kake pale makumbusho atakatishe kipato.Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.
Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na ameenda mbali akihimiza watu wazingatie vyakula na vilevile kahoji kwanini hii chanjo haioneshi muda sahihi wa kufanya kazi tofauti na chanjo zingine.
Polepole yupo sahihi, ikionesha tayari wakubwa zake ambao ni Rais na mwenyekit wake wanaipigia chapuo chanjo?View attachment 1883817
View attachment 1883818
Anaposema usichanje anatoa mbinu mbadala namna ya kujikinga na ugonjwa huu. Anasema punguza kula vyakula visivyo na virutubisho, fuata masharti mengine kama kunawa mikono. Upotoshaji upi anafanya!?Uhiari wa chanjo unakuja vipi na yeye kutoa matamshi ya kushawishi wengine wasichanje tena kwa kupotosha?
Hana ruhusa ya kupinga amri ya serikali,anaweza eleza hayo watoto wake kimya kimya vinginevyo watu kama yeye ingekuwa china angekuwa kasagwa zamani sana.Anaposema usichanje anatoa mbinu mbadala namna ya kujikinga na ugonjwa huu. Anasema punguza kula vyakula visivyo na virutubisho, fuata masharti mengine kama kunawa mikono. Upotoshaji upi anafanya!?
TBC kila siku wanatwambia chanjo ni hiari tena wanatumia hata wasanii kutushawishi juu ya hili. Hakuna mahali TBC ( Televisheni ya Taifa chini ya serikali ya Mama Samia) inatangaza kuwa chanjo ni amri!Hana ruhusa ya kupinga amri ya serikali,anaweza eleza hayo watoto wake kimya kimya vinginevyo watu kama yeye ingekuwa china angekuwa kasagwa zamani sana.
Chanjo ni hiari.
Wewe hebujaribu kumuona dactari naona kama unamsongo wa mawazo.
Serikali imesema chanjo ni hiyari then kila mmoja anahaki ya kusema kwanini anachanja na kwa nini hachanji sasa mambo ya vyama yanahusika nini hapo.
We nae unapiga kelele tu humu, sasa kuna mwanasiasa asiyekuwa mnafki?Ni kweli, ila yeye alikuwa kwenye serikali ya dhalimu ya kutoheshimu hiyari ya watu. Wakati wapinzani wakihamasisha kuwepo kwa chanjo, kutolewa taarifa za ugonjwa, alikuwa akieneza upotoshaji kuwa wapinzani ni mawakala wa mabeberu. Leo hii serikali iliyopo imekubali chanjo anataka iwe hiyari kwenye misimamo!? Toka lini amekuwa muumini wa hiari? Au unafika ndio nguzo yake?
Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.
Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na ameenda mbali akihimiza watu wazingatie vyakula na vilevile kahoji kwanini hii chanjo haioneshi muda sahihi wa kufanya kazi tofauti na chanjo zingine.
Polepole yupo sahihi, ikionesha tayari wakubwa zake ambao ni Rais na mwenyekit wake wanaipigia chapuo chanjo?View attachment 1883817
View attachment 1883818
Mimi mwenyewe ni daktari na hapa nilipo najiona. Ni hivi Polepole aache unafiki afuate kila kitu kama alivyokuwa anafanya kipindi cha yule kiongozi muovu.
Hiyo hata vyama vya upinzani haipo yani uwe katika viongozi wa chama halafu uoneshe msimamo tofauti na chama!Angekuwa bado ni msemaji wa chama angekuwa na huo msimamo?
Kama ni hivyo basi isingekuwa hiari hizo chanjo ingekuwa lazima ili kuwaondoa watu kwenye risk ya corona.Huyu anajisahau Sana anajua kwa kusema hachanji ni watu wangapi amewabadilsha msimamo, na anawaka kwenye risk ya Corona? Polepole kama hujachanji Kaa kimnya usiwabadili walio dhaifu
Huo uchaguzi unaolilia utafikiri huko nyuma kulikuwa na uchaguzi wa haki, wengine tulishaacha masuala ya uchaguzi bongo kabla hata ya huo uchaguzi unaouongelea ila mwenzetu sijui huo uchaguzi ndio mara yako ya kwanza kushiriki uchaguzi bongo.Kama anaheshimu hiyari asingekuwa sehemu ya ule uchaguzi wa kishenzi chini ya dhalimu, maana watu kuchagua mgombea wa chama fulani ilikuwa ni hiyari yao.
Nina uhakika ile 2015 kama Lissu angekuwa na hiari asingekubali kula matapishi yake ila ndio hivyo tena.Mnafiki awe na Hiari ili iweje?
Hivi wenye magonjwa makubwa kama kisukari, ngoma wakichanjwa haileti madhara?Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.
Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na ameenda mbali akihimiza watu wazingatie vyakula na vilevile kahoji kwanini hii chanjo haioneshi muda sahihi wa kufanya kazi tofauti na chanjo zingine.
Polepole yupo sahihi, ikionesha tayari wakubwa zake ambao ni Rais na mwenyekit wake wanaipigia chapuo chanjo?View attachment 1883817
View attachment 1883818
Huo uchaguzi unaolilia utafikiri huko nyuma kulikuwa na uchaguzi wa haki, wengine tulishaacha masuala ya uchaguzi bongo kabla hata ya huo uchaguzi unaouongelea ila mwenzetu sijui huo uchaguzi ndio mara yako ya kwanza kushiriki uchaguzi bongo.
Nina uhakika ile 2015 kama Lissu angekuwa na hiari asingekubali kula matapishi yake ila ndio hivyo tena.
Huo wizi unaofahamika ndio unaofanya ccm iwe madarakani kipindi chote hiki halafu wewe unaona ni kitu kidogo et ni wizi unaofahamika, sasa kama hilo umeweza kulikubali na kuliona dogo sasa hilo kubwa unalolishangaa hapa lipi wakati hata iweje ccm ilikuwa lazima tu iendelee kukaa madarakani kivyovyote vile.Wizi unafahamika, sio ushenzi. Ule haukuwa wizi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.