Ni sahihi John Heche kumuacha Dereva wake kwenda kulala Chumba cha Sh. 3,000/=?

 
Nyumba za polisi vipi?
 
Humphrey Polepole alikuwa amepanga nyumba ya milioni mbili kwa mwezi
 

Kulala ni maamuzi ya mtu. Sasa jee hawa wanaomba hela za wananchi halafu wakija vishimo vya chura?
 
Mbona unapoint za kitoto sana
Waziri analala hotel ya 1milion per day ila dreva wa waziri ana lala lodge ya elf35 ni vitu vya kawaida

Mtu amekufa ww unaleta hoja za lodge ya elf3,000 ccm mkitaka kuuwa watu huwa hamuangalii ni wap yupo wala yuko na nani
Mliteka msaidizi wa lisu na alikua amebebwa na askar jeshi na bado mrimshusha na kumteka
 
Mimi nahisi ni sababu za kiusalama. Alikiwa anakwepa kuonekana. Unajua kuna watu huwezi kuwakuta sehemu nzuri zinazojulikana. Wanaenda kujificha huko ndani ndani ambako hata huwezi kufikiri atakuwepo huko!
 
Kwa sababu msajili na Samia kitambi anayejinyea nyea ovyo wamezuia RUZUKU za CHADEMA kwa sababu wanawaogopa. Mnafikiri watapata wapi pesa za kujiendesha? Huyo ameuawa ndiyo maana mapolisi na RPC wanakuja juu wanaongea utumbo.
 

Kwa hiyo madai ya J. Heche kuwa wa mwisho kuonekana na marehemu umeyaondoa.

Sasa unatengeneza ya gesti ya 3,000/=!!??

Hivi kuna watanzania wangapi wanalala mazingira ya chini ya gesti ya 3,000/=!?
Na ukizingatia wengine ni waajiriwa wa serikali, unataka kueleza nini hapo!?

Tusipende kila kinachotujia vichwani tukipeleke kwa watu bila kuwa na ushahidi wa kutosha.
 
..hiyo guest alikofia dereva wa Heche ina hali nzuri kuliko nyumba wazoishi POLISI.

..wakati huohuo serikali imetenga matrilioni kwa ajili ya ziara za viongozi.
Jikite kwenye mada husika, kwanini mtu wa muhimu kama dereva alale kwenye chumba cha vile
 
Alisema analala ya bei rahisi ili kusevu hela maana watoto wanasoma hawezi lala hotel ya ghali wakati ya bei rahisi ipo
 
Dhihaka hii kijana,hiyo ndiyo kilimanjaro hotel yetu hapa kigoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…