Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Swala ni ku-save money. Kapewa pesa ila yeye kachagua mahali pa bei nafuu.Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.
Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Ng’ombe wa mama, humjui vizuri mfugaji wako. Anawawinda kina Mange ambao wako nje ya nchi sembuse mpigania haki aliyeko kwenye 4-star hotel ya Kigoma?Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.
Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
..hiyo guest alikofia dereva wa Heche ina hali nzuri kuliko nyumba wazoishi POLISI.
..wakati huohuo serikali imetenga matrilioni kwa ajili ya ziara za viongozi.
Wewe kweli JUHA ,hivi kuna guest ya elfu 3 nchini? Hiyo Lodge si chini ya elfu 30 kwa siku.Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.
Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Sasa ile ilikua Lodge we Kilaza?Wewe kweli JUHA ,hivi kuna guest ya elfu 3 nchini? Hiyo Lodge si chini ya elfu 30 kwa siku.
Halafu uliuliza kiasi cha pesa alichokuwa nacho kama poketi money? Chumbani ilikutwa 428,000/= ,nina uhakika polisi walipiga nyingine.
Kuna mwingine anapenda Low Key ,mambo ya kwenda kukaa cntre kwenye 5 Star Hotel wengine hawapendi kujichoresha.
Wewe ni KENGE MAJI ,unashindwa kuelewa maana halisi ya Guest ,Lodge ,Hotel ,Motel ,AirB'nB ,Apartment,hostel,Inn,Resort,Villa,cottage,Camp.Sasa ile ilikua Lodge we Kilaza?
Mavi ya mamaNimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.
Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Yupo wapi balozi Humphrey polepole?Unayachokoza manyumbu; shauri yako🤣
Manyumbu mama yako na ukoo wako uliojaa roho za Rucifer.Unayachokoza manyumbu; shauri yako🤣
Acha ushabiki wa kitoto bila kuwa na taarifa kamili. Hili ni jambo la kawaida katika safari. Unalipwa night zako, halafu wewe unaamua kutafuta sehemu bei rahisi ya kulala ili u-save hela. Sasa utamlaumu aliekulipa night?Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.
Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Sorry to say this but you are a moron .Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna uwezekano alijidhuru baada ya kuishi maisha ya dhiki kwa muda mrefu.
Binafsi naungana na Watanzania Kupinga kitendo hiki kama Ughaibuni wanatoa pesa kwanini haziwafikii walengwa kama Madereva ambao wanazunguka nchi nzima na viongozi wa CHADEMA?
Sasa Laki nne nayo pesa?😂Sorry
Sorry to say this but you are a moron .
Huna uhakika wa bei ya guest house na kwa taarifa yako marehemu alikuwa na zaidi ya laki nne umauti ulipo mfika
Fedha zinazo toka ni asilimia ndogo inayopata chama chenu na hutolewa kwa kazi maalum sio ruzuku.
Bah! HUJUI KITU