Mungu akuzidishie kwa kila unalohitajiNinaamini ikipatikana nafasi ya mkeo kusema aliyokuwa anayavumilia toka kwako naamini ni mengi mno pia..!!
katika viumbe wavumilivu ni wanawake, tena hata habari za uchepuzi hana maskiini dada wa watu, vuta kidosho nyingine uje kutuomba ushauri wa kuruka ruka kwake kama popcorn tukushauri tena..!!
Waonee huruma wanao, wanaenda kuishi maisha ya aina gani bila Baba yao, hata kama Mama yao angekuwa na kazi ya kueleweka ila bado 'Presence' ya Baba na malezi yako ni muhimu mno kwenye mustakabali mzima wa maisha yao..!!
Sidhani kama kuna kitu kinashindwa kuzungumzika na 'kusolvika' baina yako wewe na mwenzio, wanaokushauri wengi humu na wenyewe wana changamoto zao nyingi kuliko hata zako, hivyo mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake..!!
Napokea IJN dear..!!🙏Mungu akuzidishie kwa kila unalohitaji
Habari zenu wakuu?
Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis.
Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki.
Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka nae kabisa,kwani sijawahi kumhisi kwa lolote baya.
Sasa mwaka huu haujaanza vizuri kwa upande wetu,tumekua nin watu wa kununiana sana kwa mambo madogo madogo tu.
Sasa last month kuna siku nimerudi home niko tungi,sijui alinisemesha kitu gani kwa kweli nilimkungu'uta sio poa,usiku huo huo akakimbilia kwa ndugu zake,kesho yake akarudi nyumbani na kirikuu akachukua kila kilicho chake akasepa kwao kukaa pamoja na watoto .
Nilimsihi sana asiondoke ila akasema amechoka na maisha tunayoishi na kanivumilia sana.
Basi akaondoka na watoto,so huko aliko sijui wanakula nini wala sijui kama wanaenda shule yani niko sina taarifa zao,hakuna ndugu yake hata mmoja aliyenipigia kuniuliza imekuaje binti yao karudi nyumbani mpaka leo.
So mimi wasiwasi wangu ni hao watoto sijui kama wanapata huduma sahihi kwani mama yao hana kazi ya kueleweka.
Sasa wakuu,tusaidiane mawazo,ntakua sahihi kumuacha huyu mwanamke ambae tayari nimemzalisha watoto wawili?if not,nitumie mbinu gani kuyajenga nae ili arudi nyumbani?
Note:sikua tayari kuzaa na wanawake tofauti na huyu katka maisha yangu,but kwa scenario hii naona kuna dalili nikatafuta kidosho mwingine tukazaa tena.
Naomba maoni yenu yenye busara hapa,matusi pia yanakaribishwa kwa mikono miwili.
AiseeHii kitu Kama ulivoisimulia,
Iliwai mtokea dada angu na mumewe,
Ilkua skukuu shemej alilewa akamzaba makofi sister
Sister kaghadhabika kabeba Nguo zake na watoto wake kaenda Kwa dada ake kibaha.
KULE kibaha wakaa nae bila kumtaarifu shemej, wakitegemea atakuja kubembeleza kumfata mkewe na wototo.
Sister nae anajijua kaondoka na mimba, Ila eti kamnunia shemej na hajamwambia kua kaondoka na mimba yake
Siku za kujifungua zimekaribia, ndo sister anarudi Kwa shemej. Shemej anarudi Toka kazn anamkuta mkewe sebleni anatumbo kubwa sana. Jamaa kahamaki na kamtimua Kwa ugomvi mkubwa mno, akiamini mimba Sio yake.
Vikao tumekaa kusuluhisha Ila wapi, ustawi wakasisitiza Moto akizaliwa apimwe DNA,
Ila mpk DNA majibu yanatoka, Ile ndoa tyr ilishakufa MDA Sana, maana meji alishafaili divorce mahakamani Kwa njia anazojua yeye (rushwa) Na sister hajaambulia kitu.
Ndugu tukaanza changishwa Ela za wakili kesi ikatiwe rufaa, ila tunakoenda Ela znazidi kuteketea na kesi Haina mwelekeo. (Mi mwnyw nilichoka nikajitoa kuchangia kesi isiyo na mwisho).
Wale watoto wawili kamnyanganya kapeleka boarding, sahivi anahudumia yule kichanga Kwa mujibu WA Sheria. Pesa anayomtumia sista ni ndogo mno.
Kwasasa sister ndo anaehangaika.
MEJI NASKIA KESHAOA MKE MWNGN
Fata taratibu umuoe bna miaka yote hyo labda kachoka ndo maana mwaka mmeanza vibaya.Habari zenu wakuu?

Miaka nane ni mingi sana mlipaswa kua mmeshaoana
Lakini pia kwa muda huo mmeshazoeana sana itawawia vigumu sana kutengana hata kama hamna ndoa lakini tayari mmeshatengeneza bond nzuri sana
Malezi mazuri ya watoto ni ya baba na mama Kwa pamoja,msitengane muwalee watoto wenu pamoja
Mwisho kabisa nawasihi mfunge ndoa lakini pia acha pombe kijana
Kwa nini hizi vurugu zenu msizifungulie uzi wenu mkatukananiane huko kuliko kuja huku kuharibu nyuzi za watu wakuu?Wewe kweli kenge yani mke ushinde unalewa mitaputapu yako kisha urudi home umpige aendelee kukuvumilia??
Unawaza kupitia nini? Kibamia? 😥
Duh,hatari sana hii mkuuHii kitu Kama ulivoisimulia,
Iliwai mtokea dada angu na mumewe,
Ilkua skukuu shemej alilewa akamzaba makofi sister
Sister kaghadhabika kabeba Nguo zake na watoto wake kaenda Kwa dada ake kibaha.
KULE kibaha wakaa nae bila kumtaarifu shemej, wakitegemea atakuja kubembeleza kumfata mkewe na wototo.
Sister nae anajijua kaondoka na mimba, Ila eti kamnunia shemej na hajamwambia kua kaondoka na mimba yake
Siku za kujifungua zimekaribia, ndo sister anarudi Kwa shemej. Shemej anarudi Toka kazn anamkuta mkewe sebleni anatumbo kubwa sana. Jamaa kahamaki na kamtimua Kwa ugomvi mkubwa mno, akiamini mimba Sio yake.
Vikao tumekaa kusuluhisha Ila wapi, ustawi wakasisitiza Moto akizaliwa apimwe DNA,
Ila mpk DNA majibu yanatoka, Ile ndoa tyr ilishakufa MDA Sana, maana meji alishafaili divorce mahakamani Kwa njia anazojua yeye (rushwa) Na sister hajaambulia kitu.
Ndugu tukaanza changishwa Ela za wakili kesi ikatiwe rufaa, ila tunakoenda Ela znazidi kuteketea na kesi Haina mwelekeo. (Mi mwnyw nilichoka nikajitoa kuchangia kesi isiyo na mwisho).
Wale watoto wawili kamnyanganya kapeleka boarding, sahivi anahudumia yule kichanga Kwa mujibu WA Sheria. Pesa anayomtumia sista ni ndogo mno.
Kwasasa sister ndo anaehangaika.
MEJI NASKIA KESHAOA MKE MWNGN
Kwanini ulimpiga zilikua pombe au ulikua na matatizo yako binafsi ya akili?Note:sikua tayari kuzaa na wanawake tofauti na huyu katka maisha yangu,but kwa scenario hii naona kuna dalili nikatafuta kidosho mwingine tukazaa tena.
Naomba maoni yenu yenye busara hapa,matusi pia yanakaribishwa kwa mikono miwili.
Mfuate ukaongee nae umueleweshe usiende kwa nia ya ugomvi au ukiwa umelewa na hio mipombe inayokupelekea kugeuza mwanamke km punching bag uache kuanzia leo, ungerekodiwa ukiwa unampiga na ingetupwa mtandaoni nina hakika Dkt. Gwajima D lazima angekushukia na Dawati la Jinsia huko huko ulipo na Sheria zingefuata mkondo wakeSawa mkuu,this is well noted.