Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Hiyo bond niliyonayo kwa mtoto ndio inanivuruga sana kwa sasa
 
Mkuu mpaka inafikia hatua mkeo anachepuka na anakuletea na mtoto ndani alafu hujamuacha nakwambia utachapiwa kila siku.
 
Hiyo bond niliyonayo kwa mtoto ndio inanivuruga sana kwa sasa
Njemba iliyotoa mbegu inajua kama inambegu yake huko kwako?

Dah haya maumivu ni makali sana just kwa kuimahine tu
 
,baada ya week mbili nikajua mpaka jamaa anaongea na kuhusu mtoto wake na mpaka mama mkwe alishaambiwa.
Duh duh duh hii balaaa ,hlf Kuna mama wakwe wanaozaa wake na Kuna mwanamke aliyekuzali mwanamke hapa Duniani. Huyo wako alikuwa ni mwanamke aliyekuzalia mwanamke uliyemuoa na siyo mama mkwe aliyekuzalia mke
 
We are sailing in the same boat...
mimi wangu nilifukuza kabisa akarudi kwao ili wazazi wake nao wayasikie maumivu
....
na aliempa mimba nae akaikataa qmmake[emoji3062][emoji3062][emoji3062]
View attachment 2504730
Bora wewe uliefanya maamuzi ya kiume, na sio huyu anaelia lia hovyo hajielewi, anatia watu hasira tu.
 
Bila shaka huyo mwanamke sio mkeo.
 
Yaani achukue mtoto wa watu?
 
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
broo peleka huyo mtoto kwa baba yake utanishukuli baadae,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…