hiyo ni kweli. ilishanikutaWakati mwingine wanawake hua mnajitakia kupigwa vibuti wenyewe.
Yaani hakuna mwanaume anaeweza kukubali hata kuona au kusikia kwamba bado unawasiliana na X wako "ukiacha zawadi".
Na ikitokea mwanaume amegundua ama amejua kwamba unawasiliana na X, ama umepewa zawadi na X, kisha ukamuona amenyamaza bila kuchukua hatua yeyote basi tambua kwamba anakuvumilia tu, ila anakulia timing
Sijui kama ameeleweka, kama mimi nimemuelewa, hizo zawadi ni za kitambo sio wakati huu akiwa na huyo mkoloni mpyaMkipigwa na kuuwawa mnaanza kuwasema wanaume kuwa makatili.
Ulichoandika ni ujinga mtupu...
Umeelewa muda aliopewa zawadi mzee baba?Wakati mwingine wanawake hua mnajitakia kupigwa vibuti wenyewe.
Yaani hakuna mwanaume anaeweza kukubali hata kuona au kusikia kwamba bado unawasiliana na X wako "ukiacha zawadi".
Na ikitokea mwanaume amegundua ama amejua kwamba unawasiliana na X, ama umepewa zawadi na X, kisha ukamuona amenyamaza bila kuchukua hatua yeyote basi tambua kwamba anakuvumilia tu, ila anakulia timing
Hiyo ni dalili ya kutomove on,yaani moyo kauacha Kwa Ex huyu mpenzi wa Sasa yupo kimwiliIla watu mnaujasiri, bado mnapeana zawadi na maex means mnawasilianaπ€π€...anyways me nikishaachana na mtu hua sirudi nyuma hata iweje
Wazoefu wamewasiliπππAcha kiherehere, sio lazima kila kitu useme.
Sasa mkuu, kama zawadi walipeana kipindi wapo katika penzi, kuna sababu yoyote ya yeye kumwambia mpenzi mpya kweli? Mbona it's obvious kuwa zawadi kapewa na ex wake wakati yupo kwa penzi jipya.Sijui kama ameeleweka, kama mimi nimemuelewa, hizo zawadi ni za kitambo sio wakati huu akiwa na huyo mkoloni mpya
Binti hajui Kuna taarifa ndogo sana zinaweza haribu kichwa Cha patner πSasa mkuu, kama zawadi walipeana kipindi wapo katika penzi, kuna sababu yoyote ya yeye kumwambia mpenzi mpya kweli? Mbona it's obvious kuwa zawadi kapewa na ex wake wakati yupo kwa penzi jipya.
Kuna mmoja aliwahi kujichanganya akaniambia zile chup alinunuliwa na marehem X wake, basi mie sikutaka maelezo zaidi.... nilimwambia akazichome moto, na huyo X wake angelikua hai ndio ilikua ticket ya kumnawa...βΉοΈUmeelewa muda aliopewa zawadi mzee baba?
Unajua kutokuelewa swali tayari umefeli mtihani bablai?
Mleta hoja anaweza kuwa na hoja asikilizwe....acheni mvuke inaonyesha yamewakuta sanaπππ
ERoni hadi amewaza kuua kabisaπ€£
π€£π€£π€£ DuhAcha kiherehere, sio lazima kila kitu useme.
Hii zawadi ni mpya hii,,ngoja aseme aone moto utaowaka sijui hata atauzimaje.Sasa mkuu, kama zawadi walipeana kipindi wapo katika penzi, kuna sababu yoyote ya yeye kumwambia mpenzi mpya kweli? Mbona it's obvious kuwa zawadi kapewa na ex wake wakati yupo kwa penzi jipya.
Kwakweli huyo mpenzi wake ana kaziππHiyo ni dalili ya kutomove on,yaani moyo kauacha Kwa Ex huyu mpenzi wa Sasa yupo kimwili
ndo hivyo inatakiwa iwe...mawasiliano hayo ndo hua yanapelekea watu waanze kupasha viporo ππMe too
Tukiachana umeenda hiyo
Hata tukionana usinisalimie
Yani huwa sitakagi shobo na ex
hope ya kuyajenga tena na mmeshaachana....maybe inategemea na namna gani mmeachanaNa hii naona ndivyo inatakiwa kuwa
Labda kama bado ipo hope ya kuyajenga
Watoto mna akili chini ya utoto.Wadau wa jamii naomba kujua hili,
Je, ni sahihi kumwambia partner wako kwamba una zawadi ambayo alikupatia ex wako?
Hii taarifa ni sahihi kushare na partner wako au ni bora kukaa kimya au kutupa/kugawa zawadi uliyopewa na ex?
Soon atalipata analolitafuta asipokua makini πMwanakulitafuta wewe!
Malejendari mnajua zaidi π€£π€£π€£Hii zawadi ni mpya hii,,ngoja aseme aone moto utaowaka sijui hata atauzimaje.
Sasa ulimkuta alishadukuliwa, ulijua kaliwa na MALAIKA?π€£π€£ππKuna mmoja aliwahi kujichanganya akaniambia zile chup alinunuliwa na marehem X wake, basi mie sikutaka maelezo zaidi.... nilimwambia akazichome moto, na huyo X wake angelikua hai ndio ilikua ticket ya kumnawa...βΉοΈ
Na skuizi hua najiuliza sana, nini kilinipata hadi nikajikuta nakua na wivu hadi kwa marehem...πSasa ulimkuta alishadukuliwa, ulijua kaliwa na MALAIKA?π€£π€£ππ
UKWELI wabongo tupo nyuma sana.
Ukinunua gari used ujue lilisha kazwa kazwa mara nyingi na fundiπππ